Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Poleni majirani kwa msiba wa Rais mstaafu Mwai Kibaki.

Lakini labda mnijuze/ mnifunze huu utaratibu wa kumweka maiti hasa kiongozi mkubwa aliyefariki kwa style hii mmeutoa wapi?

Binafsi naona kama inatisha sana sasa sijui wenzetu nyie mnaona inapendeza labda. Hii niliona hata kwa marehemu Daniel Moi.

View attachment 2200332
Maiti inatisha kivipi mkuu,hebu fikiria ni mke au mtoto wako unaweza kusema inatisha...
 
Stupid people don't know they're stupid.

6c8623eed87df6bd113a49a14e0ab54c--people-quotes-stupid-people.jpg
Umeona uandike kwa kizungu kabisa, ha ha ha nyang'au unachekesha.
 
Kenya urais Ni wa kabila 2 tu (Kikuyu+Kalenjin@=Christian+male) katika makabila 42+. Wengine wote tupa kule.
Kuna wakikuyu wengi sana ambao ni waislamu, tena sio wale wa kusilimu miaka ya hivi majuzi. Uislamu uliwasili ukikuyuni, hasa maeneo ya Nyeri, kabla hata mkoloni hajatia mguu wake barani Afrika. Hata wakalenjin pia wapo, ambao ni waislamu. Kwenye siasa za Kenya dini huwa sio hoja. Tena hakuna mkenya ambaye ana huo muda wa kujadili dini za watu.
 
Waislamu hawana nafasi kwenye Uongozi Mkuu wa nchi Yao wenyewe. Zaidi ya kaunti zao 8 (Mandera, Tana River, Lamu, Mombasa, Kilifi, Taita/Taveta, Garissa,Wajir). Cabinet secretaries wa kuhesabu.
Acha porojo zako wewe. Licha ya kwamba nchi ya Kenya ni ya kikristo kwa 86%. Waislamu, ambao hawajazidi 11% ya wakenya, wameweza kushirikishwa, tangia zamani, kwenye uongozi wa taifa la Kenya kwa kiasi kikubwa. Hata sasa hivi kuna waislamu ambao wameshikilia nyathfa nyeti mno na za ngazi ya juu. Kuanzia vyeo vya kisiasa, kwenye wizara tofauti, taasisi za kiserikali, KDF hadi Kenya Police.
 
Kenya mmewaengua Waislamu kwenye uongozi wa juu. Ndio maana lile kundi la MRC likaanzishwa kule Mombasa na slogan "Pwani si Kenya" Kibaki akatumia ubabe kulizima. Mpaka 2016 Eid El Fitr/Eid El Hajj haikua public holiday hapo Kenya. Huo sio udini?
Aisee we jamaa ni muongo kupindukia. MRC lilikuwa vuguvugu la watu wa pwani(Mkoa ambao ulikuwa unaitwa Coast), sio la kiislamu. Kiongozi wa kundi hilo haramu ni Nyae Ngao, mkristo, tena 'pastor' wa kievanjelisti. Unajifanya 'victim' hapa wakati wewe ndio umejawa na udini hadi pomoni. Bila shaka itakuwa wewe ni kati ya wale watanzania ambao walikuwa wafuasi wa wale mashehe 'bonoko', Aboud Rogo na Makaburi.

Wenzako waliishia kuuwawa bure kule Somalia, baada ya kusikiza CD za hayo mahubiri yao ya kishetani. Sijui kwanini wewe muoga hukuvuka boda, ukajiunge na swahiba zako alshabaab. Naionea huruma sana nchi yako, kama wewe hapo ndio sampuli ya waislamu watanzania. Dawa ya watu kama wewe ni risasi tu, ili mrahisishiwe safari yenu ya kuenda kujivinjari na mabikra.
 
Aisee we jamaa ni muongo kupindukia. MRC lilikuwa vuguvugu la watu wa pwani(Mkoa ambao ulikuwa unaitwa Coast), sio la kiislamu. Kiongozi wa kundi hilo haramu ni Nyae Ngao, mkristo, tena 'pastor' wa kievanjelisti. Unajifanya 'victim' hapa wakati wewe ndio umejawa na udini hadi pomoni. Bila shaka itakuwa wewe ni kati ya watanzania ambao walikuwa wafuasi wa wale mashehe 'bonoko' Aboud Rogo na Makaburi.

Wenzako waliishia kuuwawa bure kule Somalia, baada ya kusikiza CD za mahubiri yao ya kishetani. Sijui kwanini wewe muoga hukuvuka boda, ukajiunge na swahiba zako alshabaab. Naionea huruma sana nchi yako, kama wewe hapo ndio sampuli ya waislamu watanzania. Dawa ya watu kama wewe ni risasi tu, ili mrahisishiwe safari yenu ya kuenda kujivinjari na mabikra.
Kwa nini unachukia uislam namna hii?
 
Mbona hata Chairman Mao wa Uchina, baba yenu ambaye aliwaambukiza ukomunisti, alifanyiwa hivyo hivyo? Utamaduni huu huwa unafanywa kwa viongozi wengi sana kote duniani, acha ushamba.
Haya sasa kumekucha 🙂 🙂
 
Acha porojo zako wewe. Licha ya kwamba nchi ya Kenya ni ya kikristo kwa 86%. Waislamu, ambao hawajazidi 11% ya wakenya, wameweza kushirikishwa, tangia zamani, kwenye uongozi wa taifa la Kenya kwa kiasi kikubwa. Hata sasa hivi kuna waislamu ambao wameshikilia nyathfa nyeti mno na za ngazi ya juu. Kuanzia vyeo vya kisiasa, kwenye wizara tofauti, taasisi za kiserikali, KDF hadi Kenya Police.
Kazi mnayo. Mnatengeneza bomu, vijana huko kaunti zilizo na waislam wengi wanazid kutaabika kwa sera za Nairobi (zilizojaa udini)
 
Aisee we jamaa ni muongo kupindukia. MRC lilikuwa vuguvugu la watu wa pwani(Mkoa ambao ulikuwa unaitwa Coast), sio la kiislamu. Kiongozi wa kundi hilo haramu ni Nyae Ngao, mkristo, tena 'pastor' wa kievanjelisti. Unajifanya 'victim' hapa wakati wewe ndio umejawa na udini hadi pomoni. Bila shaka itakuwa wewe ni kati ya wale watanzania ambao walikuwa wafuasi wa wale mashehe 'bonoko', Aboud Rogo na Makaburi.

Wenzako waliishia kuuwawa bure kule Somalia, baada ya kusikiza CD za hayo mahubiri yao ya kishetani. Sijui kwanini wewe muoga hukuvuka boda, ukajiunge na swahiba zako alshabaab. Naionea huruma sana nchi yako, kama wewe hapo ndio sampuli ya waislamu watanzania. Dawa ya watu kama wewe ni risasi tu, ili mrahisishiwe safari yenu ya kuenda kujivinjari na mabikra.
Kuwa kiongozi wa kundi si hoja, walifanya hivyo kimkakati. Eti wakristo 86% Kenya nzima? Ha ha ha! Kibera oyeee
 
Kuna wakikuyu wengi sana ambao ni waislamu, tena sio wale wa kusilimu miaka ya hivi majuzi. Uislamu uliwasili ukikuyuni, hasa maeneo ya Nyeri, kabla hata mkoloni hajatia mguu wake barani Afrika. Hata wakalenjin pia wapo, ambao ni waislamu. Kwenye siasa za Kenya dini huwa sio hoja. Tena hakuna mkenya ambaye ana huo muda wa kujadili dini za watu.
Kwenye Siasa za Kenya UKABILA ndio hoja? Na unafurahia. Wakikuyu mna tabu kweli.
 
Kuwa kiongozi wa kundi si hoja, walifanya hivyo kimkakati. Eti wakristo 86% Kenya nzima? Ha ha ha! Kibera oyeee
Eti kimikakati. 😄 Naona umekuwa mpole sana, baada ya kuumbuka ukijaribu kueneza udini wako kwa kutumia uongo. Kwenye hili jukwaa hoja huwa zinapangwa na kupanguliwa kwa kutumia 'facts' na takwimu. Sio hadithi ambazo huwa mnasimuliana, mkiwa kwenye vijiwe vyenu vya kahawa hapo Uwanja wa Fisi.

Census ya Kenya 2019; Kenya: population by religious groups | Statista
Wakristo nchini Kenya- 85.59%
Waislamu- 10.90%
Kazi mnayo. Mnatengeneza bomu, vijana huko kaunti zilizo na waislam wengi wanazid kutaabika kwa sera za Nairobi (zilizojaa udini)
Kama unamaanisha kwamba gatuzi za pwani, nchini Kenya, zina waislamu wengi zaidi ya wakristo umenoa. Kwenye gatuzi zote sita za pwani kwa pamoja, waislamu ni 40%, wakristo nao ni 60% ya wakazi wote.
Kenya’s Coast: Religion, Race, Ethnicity and the Elusive Nature of Political Community
Kwenye Siasa za Kenya UKABILA ndio hoja? Na unafurahia. Wakikuyu mna tabu kweli.
Siungi mkono ukabila, uovu huo hauna faida na huwa unaendelezwa na wanasiasa, kwa faida yao. Kuna siku utakuja utokomezwe kabisa nchini Kenya na sasa hivi tunaelekea huko.
 
Back
Top Bottom