Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Kifo - kiboko chetu wanadamu. Uzikwe na mtu mmoja au uzikwe na mamilioni. Uwekwe kwenye jeneza au kwenye mkeka. Utupwe huko uliwe na wanyama au usombwe na maji usionekane. Ujengewe mapiramidi kama mafarao wa Misri ya kale....yote ni kazi bure. Mbwembwe tu za binadamu na zisizo na faida [emoji706]
 
Kawaida tu.

Miaka michache hapo nyuma Africa walikua wanamkalisha marehemu hapo kwenye kiti na wakiaga wanampika supu marehemu au wanamtundika juu ya mti usiku wa manane wanatambaa naye.

Au wanazika kuzuga tu badae wanafukua wanaondoka nae.

Zipo hizo documentary huko west Africa nyingi tu.

Wakenya wanaiga tu.
 
Poleni majirani kwa msiba wa Rais mstaafu Mwai Kibaki. Lakini labda mnijuze/ mnifunze huu utaratibu wa kumweka maiti hasa kiongozi mkubwa aliyefariki kwa style hii mmeutoa wapi? Binafsi naona kama inatisha sana sasa sijui wenzetu nyie mnaona inapendeza labda . Hii niliona hata kwa marehemu Daniel Moi.
View attachment 2200332
Hiyo ndio maana halisi ya Demokrasia kila kitu wazi hakuna kuficha
 
20220426_041846.jpg
 
Kawaida tu.

Miaka michache hapo nyuma Africa walikua wanamkalisha marehemu hapo kwenye kiti na wakiaga wanampika supu marehemu au wanamtundika juu ya mti usiku wa manane wanatambaa naye.

Au wanazika kuzuga tu badae wanafukua wanaondoka nae.

Zipo hizo documentary huko west Africa nyingi tu.

Wakenya wanaiga tu.
Tamaduni za mazishi zipo nyingi. Kama huyu boya Rockefeller alijifanya kwenda Papua New Guinea njemba zikaishia kumla....[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220427-020529_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom