Ni utaratibu tu nadhani kutoka kwa Wakoloni. Ila sio sure. Cha msingi ni kuwa rais anapofariki, mwili wako lazima uwekwe peupe ili raia waweze kumtazama na kumpa buriani ya mwisho. Itakuwa ngumu kumtazama ukiwa mwili itakuwa ndani ya geneza.
Rais kama alikuwa ni muumini wa dini ya kiislam je ataagwa hivyo?Ni utaratibu tu ila sijui chanzo chake. Cha msingi ni kuwa rais anapofariki, mwili wake lazima uwekwe peupe ili raia waweze kuutazama na kumpa buriani ya mwisho. Itakuwa vigumu kumtazama ikiwa mwili utakuwa ndani ya geneza.
Sijui? Sina uhakika. Hii ni protocol tu ila pengine inaweza kubadilishwa ikiwa dini ya rais hairuhusu mwili wake kuwekwa peupe namna hio.Rais kama alikuwa ni muumini wa dini ya kiislam je ataagwa hivyo?
Kenyatta seniour hakuzikwa hovyo hovyo, alipewa heshima yake.Mzee Kenyetta senior yeye ndo hata hawakumzika kabisa walimweka hvohvo hadi leo kama sijakosea.
Soma vizuri post uliyoquoteKenyatta seniour hakuzikwa hovyo hovyo, alipewa heshima yake.
Ni Jeneza na siyo geneza!
Ni kweli na itaondoa tabia ya kupiga video za marehemNaona ni utaratibu mzuri sana kumuona marehemu wote sio unaonyeshwa pua na uso tu kwenye kioo. Hata magufuli nilitaman tumuone hivyo
Mbona hata Chairman Mao wa Uchina, baba yenu ambaye aliwaambukiza ukomunisti, alifanyiwa hivyo hivyo? Utamaduni huu huwa unafanywa kwa viongozi wengi sana kote duniani, acha ushamba.Duuh utamaduni wa kifala sana Mzee mzima wamemwacha na miguu kachanua kabisa duuh!
Kila jamii ina tamaduni zake sijaona shida ipo wapiDuuh utamaduni wa kifala sana Mzee mzima wamemwacha na miguu kachanua kabisa duuh!
Kwa hiyo hao wengine wanazikwa hovyo hovyo, au?Kenyatta seniour hakuzikwa hovyo hovyo,...