Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Kifo - kiboko chetu wanadamu. Uzikwe na mtu mmoja au uzikwe na mamilioni. Uwekwe kwenye jeneza au kwenye mkeka. Utupwe huko uliwe na wanyama au usombwe na maji usionekane. Ujengewe mapiramidi kama mafarao wa Misri ya kale....yote ni kazi bure. Mbwembwe tu za binadamu na zisizo na faida [emoji706]
 
Kawaida tu.

Miaka michache hapo nyuma Africa walikua wanamkalisha marehemu hapo kwenye kiti na wakiaga wanampika supu marehemu au wanamtundika juu ya mti usiku wa manane wanatambaa naye.

Au wanazika kuzuga tu badae wanafukua wanaondoka nae.

Zipo hizo documentary huko west Africa nyingi tu.

Wakenya wanaiga tu.
 
Hiyo ndio maana halisi ya Demokrasia kila kitu wazi hakuna kuficha
 
Tamaduni za mazishi zipo nyingi. Kama huyu boya Rockefeller alijifanya kwenda Papua New Guinea njemba zikaishia kumla....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…