Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Ukweli unabaki pale pale Waislamu wamepunjwa nafasi za Uongozi Kenya. Hapo bado mna ukabila. Kazi ipo! Agosti 2022 muuane tena
 
Ukweli inabaki pale pale Waislamu wamepunjwa nafasi za Uongozi Kenya
Yea, utabaki pale pale, kichwani mwako. Wamebaguliwa sana, ndio maana hata mahakama ya Kadhi wamekuwa nayo. Kwa miongo zaidi ya miine sasa, wakati hapo Tanganyika wewe muislamu neno kadhi hadi leo hii ni msamiati kwako.
 
Tanzania Rais wa Jamhuri ni Nani?. 2005-2015 tuliwahi kuwa na Rais na Makamu wake wote waislam bila rabsha!nyie mpaka Sasa Marais 4 (Marais 3 Kikuyuz, 1kalenjin tena aliingia kwa bahati mbaya, mkampinga kisa si Mkikuyu baadae akakaza haswa mkamuita dikteta).
**Hapo sijazungumzia nafasi ya mwanamke kwenye Siasa za Kenya. Katiba na uhalisia Ni vichekesho.
NB: mkiambiwa Kenya ni kichekesho mnanuna.
 
Udini na ukabila utawamaliza. Tena kipindi hichi cha uchaguzi kila mmoja anarudi kwao mi mwenyewe mwezi wa sita narudi zangu Tanzania.
Kwanza kaondoke kabisaa,tuondolee uchafu,
Kelbu hayawani.
 
Kwani Papa Yohane Paulo wa 2 aliagwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…