Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

Wazungu nao hukata viuno eapoti ya Landani, walaumiwe kwa kutuletea utamaduni wao.
 
Tanganyika hatukupata Uhuru, tulidanganywa na mchonga.

Structure ya mkoloni aliyoicha ndio hiyo hiyo, CCM inaitumia , kukandamiza wananchi
 
Hivi vikundi vya Ngoma vingi Viko kwenye ofisi za CCM,matawi, ndiko wanako jifunzia kukatika, na kuambukizana mangonjwa ya zinaaa na Mimba za ghafla
Hivyo vikundi msivione hivyo ni Mali ya CCM hiyo,
CCM ina mambo ya hovyo Sana Khan😂😂
 
😅😅😅
 
Viongozi wetu wakienda nchi za watu walioendelea huwezi kuona huu uwendawazimu wa kina mama na kina baba wa huko kukata mauno kama wendawazimu!.
Kumbe kuacha hii hali hadi nchi iendelee, basi subiri siku Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizoendelea, huu utaratibu utajifia.
 
Ni ujinga usiopingika, Marais wetu wakienda kwao huko Ulaya au Marekani hata raia wa huko wanakuwa hawana taarifa kuwa Rais wa Tanzania kaja kulia na kuomba msaada wakati nchi yake ina kila aina ya utajiri.
 
Moja ya jambo la hovyo hili sio peke yako,inamaana hata mie najiuliza inamana tumekosa kabisa ubunifu zaidi ya kulimwaga uno?
 
Nadhani ni mkwere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…