Huu msiba ulitawaliwa na mbwembwe za mastaa uchwara.Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Chuga hiyo..Mzuka Wanajamvi!

😂😂😂😂😂 utige ? Una maligo veve 😂😂😂kijana ayoo kazingua kwa kwelii mazee ila wanaume wenzagu nawaasa kuwa baada ya mechi usikubali dame aone madako Yakooo Rudi nyuma kama lorry la takataka
You will thank me later.!
Unatuaibisha wanaume wenzio mkuu.Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Iyo sura ngumu kwenye avatar wewe unaiona ya jinsia gani mkuu?Wewe wa kike au wa kiume ?
Miladi ni yupi hapo katika hao wawili? Tunashindwa kuchangia mada mkuu hatumjui.Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Wa kuliaMiladi ni yupi hapo katika hao wawili? Tunashindwa kuchangia mada mkuu hatumjui.
Humu ndani watu mna vituko. Hahaha JF raha.Kwa akili hizi si bure ulitarajia utaona amevaa sanda
Utambulisho ingekuwa anavaa kila siku, huu ni usela tu.Mimi naona aina hiyo ya mavazi Millard ameamua kuitumia kama utambulisho wake. Kama ambavyo Mark wa Meta alivyo na aina moja ya mavazi.
Naongezea, sasa hivi mvua zinanyesha matope Kila sehemu pia wao ndio walikuwa wabebaji wakuu wa jeneza la marehemu sasa ukijumlisha na pirika nyingine msibani lazima uvae kikazi.Amevaa sahihi kabisa. Yupo safari ya kikazi tena msibani lazima avae nguo zitakazomfanyia wepesi kushuka na kupanda gari, kupiga picha na kuongea na watu mbalimbali ..... NAKADHAA WA KADHA. Ulitaka avae Kanzu na koti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyaaa Millard acha makasiriko.
Naunga mkono hojaWewe wa kike au wa kiume ?
Apu hinu pena, maligo gahi kwoki? Mwiyaku akuvaahasa vagosi vayaki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utige ? Una maligo veve [emoji23][emoji23][emoji23]