Mvua matope kazi kazi boot la kazi suruali la kazi.Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Awe na cash hiyo harafu aendelee kufanya kazi cloudsMkuu ana bilion 10 madaf na 4 million usd kama sijakosea. Source Google.
Umetulia kwenye sofa nyumbani kwa dadako bando lenyewe umepewa na mume wa dada yako unamjadili Millard Ayo, fanya uende ukamchukue Junior shuleniMzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Suti ni kwa wale wanafika msibani wanakaa kama wageni. Yeye si ajabu alikuwa anachakarika huku na kule kazi kazi. Bila shaka angevaa suti bado ungesema jamaa anaenda msibani kama vile kaalikwa bungeni.Yani kabisa hupo serious hujaona maajabu. He is not a teenager. Ilitakiwa atinge suti.
Stratergy... Clouds inamfanya awe relevant kwa kumsikia. Utamsikia clouds ikikumbushe app yake.... Kuna watu wanafanya kazi si kwa sababu ya mshahara fulani but kazi hiyo inawafanya wapate michongo mingine. Sina hakika kama ana pesa hiyo, ila pia siwezi kushangaa kama anayo maana mambo ya monetization mtandaoni yana ela kinoma.Awe na cash hiyo harafu aendelee kufanya kazi clouds
Consider hali ya hewa, nature ya shughili na majukumu aliopangiwa/jipangiaMzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Dogo yani nimefurahi kichizi kukusoma tena. Nilitaka kukuanzishia uzi. Umepotea sana jamvin kitambo sana.Umetulia kwenye sofa nyumbani kwa dadako bando lenyewe umepewa na mume wa dada yako unamjadili Millard Ayo, fanya uende ukamchukue Junior shuleni
Kumbe Ayo ni bilionea?!!!!🤔Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Vipi nyie wa longalombogo na ndoleleji.Wazee wa Mugumu Serengeti mna shida sana.
Bado unaosha vyombo Denmark?Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Pindee 7 sheeh pozi lake naliogopaaALAFU watu wa Upinde siku hizi wanapenda sana mavazi hayo na yanayofanania na hayo.