Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Amevaa sahihi kabisa. Yupo safari ya kikazi tena msibani lazima avae nguo zitakazomfanyia wepesi kushuka na kupanda gari, kupiga picha na kuongea na watu mbalimbali ..... NAKADHAA WA KADHA. Ulitaka avae Kanzu na koti.
Na lile baridi la Rombo...
Mimi naona ni Vazi sahihi kabisa.....
 
huu ni msimu wa mvua,ulitegemea avae vipi??......udongo wa moshi ni tiftif!!!!,,,alaf pia ni teknik ya kujificha asipigwe mizinga!!
 
Umeacha kushangaa wazungu wanao vaa ch. upi.....mchana kweupe unakuja kumshangaa kijana aliyevaa kwa heshma kabisa?
 
Watu mmezoea kuwaona watu wakivaa wametinga suti na Tai leo Millard kaja kitofauti mmeamua kumstukia.
 
Hapo Millard Ayo ni yupi?
And this really happened. Tulikuwa Loitokitok tumekwenda kupanda mlima ( Kilimanjaro)
Mtu mmoja pale akaonyeshwa album ya waimbaji Nina and Frederick.
Akauliza,"Which one is Nina and which one is Frederick?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…