Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Ushamba unakusumbua
 
Huu msiba umenifundisha watu wema hawana tabia ya kusimulia baada ya kutoa msaada.

Jamaa kaongelewa mazuri sana na wasanii wengi mchango wake kwenye maisha yao mpaka raha vitu ambavyo yeye mwenyewe alikuwa aongelei kabisa katika uhai.
 
Vijana wa Arachuga hawajawahi kuwa serious kwenye mavazi
 
Amependeza.
Sasa hapo angependeza zaidi endapo designer wa Kitanzania akaongezea patches hapo kwenye kivazi ili kuwakomesha kiwanda kilichotengeneza
 
Huwa anavaa hivo mara nyingi katika harakati
 

Attachments

  • images (76).jpeg
    47.3 KB · Views: 6
  • images (75).jpeg
    41.5 KB · Views: 5
  • images (77).jpeg
    46.7 KB · Views: 5
Kwani angevaa unavyo taka ww marehemu angefufuka?

KAZI ni kipimo Cha utu
 
elewa kwamba kila tukio/event na hata occation kuna dressing code zake automatically watu huvaa kumaanisha wana concentrate na tukio/mahali hapo. Huwezi kujivalia mavazi tu utaonekana kituko
 
elewa kwamba kila tukio/event na hata occation kuna dressing code zake automatically watu huvaa kumaanisha wana concentrate na tukio/mahali hapo. Huwezi kujivalia mavazi tu utaonekana kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…