Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..
unaambiwa katika uvumbuzi uliozua gumzo ni huu wa Elon Mask uliofanyika katika Tesla Artificial Intelligent Event "Tesla AI event".

Robot ya 5ft na 8in ikiwa na 125pound yenye screen usoni ambayo inauwezo wa kusoma kile unachokiwaza na kutoa maandishi ya kile unachowaza kwenye screen iliyo kwenye paji la uso wa Roboti.

Hii ikija Bongo sijuhi itakuwaje?

image_9d6aa586-87c8-4130-b52f-b959994813c620210820_114230.jpg
 
Hebu ngoja kwanza......nikiwaza kwa kutumia lugha mama mfano kimakonde hilo roboti litanigundua kweli?
Kuwaza kwa kimakonde au kimanyema ni kulekule tu! Issue ni vibrations unazotoa ndio kitafsiriwacho, hivyo lugha ni kiwakilishi tu cha mwili, ila vibrations zitengenezwazo na unachokiwaza iwe mzungu, mchina nk ndio kitatafsiriwa na hiyo AI robot.
 
Alietuumba mwenyewe alituweka na uwezo huu wa kutojuana mawazo alikuwa na maana yake!
Haya sasa wameingia viherehere watatuuwa hawa..[emoji28]
Ni ujinga kuondoka na hii concept kuwa " aliyetuumba anajua"..
Hatukuumbwa na asili hii, asili yetu ni kujua everything (knowingness ndo nature yetu)
Zamani kabla ya kuwa "binadamu" tulikuwa na uwezo wa kujua mawazo yote yanayowazwa. Tulikuwa na uwezo wa kuwasiliana na viumbe na mimea, yaani tulijua eveything, wala hatukuhitaji magari kwa vile tulikuwa na uwezo wa kufika mahali popote bila kusafiri...ni manipulation tu ndo imetuondolea powers zetu lakini tutarejea tena kwenye asili yetu hivi punde labda kama umepokea chanjo utabakia hivyo "forever".
Duniani bado watu wanazitegemea dini zilizowadanganya kwa miaka maelfu kuwaokoa. Wanadhani Yesu na Deities wengineo watarudi, never.
Hao wakina Elon Musk wanajua siri na asili ya binadamu na miungu yao ndo inetengeneza hii hybrid ya binadamu huyu wa leo ambaye ni "nothing".Tafakari upya
 
Wewe nae subiri tozo huko tusichoshane mkuu.
 
Habari wadau..
unaambiwa katika uvumbuzi uliozua gumzo ni huu wa Elon Mask uliofanyika katika Tesla Artificial Intelligent Event "Tesla AI event".

Robot ya 5ft na 8in ikiwa na 125pound yenye screen usoni ambayo inauwezo wa kusoma kile unachokiwaza na kutoa maandishi ya kile unachowaza kwenye screen iliyo kwenye paji la uso wa Roboti.

Hii ikija Bongo sijuhi itakuwaje?

View attachment 1899487
Haiwezekan
 
Back
Top Bottom