Hivyo hata hizo Ai machines zimetengenezwa kwa style hiyo..
You know I thought you were smart but you're deluded asf.
Na sidhani hata kama unajua how AI works and how they come to function.
Simple definition.
AI ni program ambayo imekuwa programed kugather vast amount of information through its experiences to complete a specific task kutokana na hizo information ambazo ziko in its memory.
Then manifested as learning and intelligence.
Well technically is just a goddamn machine ambayo ni zao la human brain.
Human brain is the most complicated structure in the history of humankind.
There are billions of neurons in your brain zinazosababisha wewe ujitambue.
So huwezi kuja from nowhere na conspiracy theories zako ambazo umeziokota from modest websites then useme AI zimetengezwa hivyo hivyo.
To believe that you must be either stupid or crazy and stupid at the same time.
Hii body including brain hurusha mawimbi ( frequency) ambayo yanaweza kuwa hacked na decoding system na kuona rality.
Ni kama Tv yako inavo decode frequecies na kuona picha na sauti kwenye screen yako.
Seriously
Yaani ubongo na mwili unarusha frequency ambazo zinaweza kuwa hacked?
Who the hell told you that?
Do you even know what reality is?
Our brains perceives reality as what it is.
Na ubongo haufanyi kazi as a decoding system bali una act as a receiver of reality.
Sababu reality is something that actually exists as what it is.
So as long as reality exists as actually what it is and the human brain acts as a receiver of reality from its sensors then nothing can penetrate that connection and there's nothing to be hacked.
Hivyo ubongo una act as receiver only na sio output of anything.
Nakuuliza swali unajuaje kama wewe ni wewe?
Ushawahi kucheza Video game ambazo ni Visual Reality? Au wanafunzi wanaojifunza urubani wanapokuwa kwenye simulator unajua kinachofanyika ni nini kwenye brain yako hadi unashindwa kutofautisha reality na fiction?
Unaposema virtual basi tayari ubongo unajua sio reality.
Simple use of critical thinking.
Ungekuwa unafahamu brain inavofanya kazi usingeleta ujinga wako hapo wa kutojua, ni afadhali ujifanye mjinga ili uelimishwe kuliko kujifanya unajua..
Yeah.
Unataka kumuelimisha mjinga kwamba human body and brain vinatoa mawimbi ambayo yanaweza kuwa hacked.
What the hell?