Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
U
meathirika na movie ww sio bure ndo wale wale wanaoamin theory badala ya fact kabla ya kumwongelea huyo robot ebu nisaidie ":mechanism ya ubongo unaanzia wap kufikiri au unaanzia wap kupata wazo *Unaifahamu study inayoitwa Dianetics au Scientology? Acha ujinga wako.
Kuna taasisi inaitwa "Mkutra" ina deal na Mind Control Projects na imeharibu wengi sana, ni kitengo cha CIA.....ngoja nisienndelee, sidhani kama unaongea kwa akili zako