Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

Yaani ubongo na mwili unarusha frequency ambazo zinaweza kuwa hacked?
Who the hell told you that?

Do you even know what reality is?

What the hell?
Hapa sasa inabidi umuhoji Albert Einstein, the great Scientist of the 20th Century. Aliyewahi kusema haya kwa mara ya kwanza ni Einstein
 
Kwa hiyo Teenager, kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba huyu jamaa yuko sahihi kwa kile anachosema kuhusiana na AI, yaani kile ambacho anasema AI ina uwezo wa kufanya. Issue ya AI kutumika tena kwenye haya maswala ya COVID-19 hiyo sasa ndiyo issue nyingine inayohitaji mjadala wa yeye kuwathibitishia watu humu jukwaani kwamba anachosema ana uhakika nacho ama la!
 
Back
Top Bottom