TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Una nunua unaweka ndani kama una mke akitaka kuchepuka tu unajua ,roboti itakwambia anawaza nn mkeo
Week moja nyingi, mkeo anakutulia sumu au anakuua kwa kukukaba usingizini.Una nunua unaweka ndani kama una mke akitaka kuchepuka tu unajua ,roboti itakwambia anawaza nn mkeo
Kuwaza kwa kimakonde au kimanyema ni kulekule tu! Issue ni vibrations unazotoa ndio kitafsiriwacho, hivyo lugha ni kiwakilishi tu cha mwili, ila vibrations zitengenezwazo na unachokiwaza iwe mzungu, mchina nk ndio kitatafsiriwa na hiyo AI robot.Hebu ngoja kwanza......nikiwaza kwa kutumia lugha mama mfano kimakonde hilo roboti litanigundua kweli?
Ni ujinga kuondoka na hii concept kuwa " aliyetuumba anajua"..Alietuumba mwenyewe alituweka na uwezo huu wa kutojuana mawazo alikuwa na maana yake!
Haya sasa wameingia viherehere watatuuwa hawa..[emoji28]
Nawewe ukiwaza tu kumtumia muamala wa pamoja na ya kutolea ashura kipoozeo chako atakudaka mke wako.Una nunua unaweka ndani kama una mke akitaka kuchepuka tu unajua ,roboti itakwambia anawaza nn mkeo
Wewe nae subiri tozo huko tusichoshane mkuu.Ni ujinga kuondoka na hii concept kuwa " aliyetuumba anajua"..
Hatukuumbwa na asili hii, asili yetu ni kujua everything (knowingness ndo nature yetu)
Zamani kabla ya kuwa "binadamu" tulikuwa na uwezo wa kujua mawazo yote yanayowazwa. Tulikuwa na uwezo wa kuwasiliana na viumbe na mimea, yaani tulijua eveything, wala hatukuhitaji magari kwa vile tulikuwa na uwezo wa kufika mahali popote bila kusafiri...ni manipulation tu ndo imetuondolea powers zetu lakini tutarejea tena kwenye asili yetu hivi punde labda kama umepokea chanjo utabakia hivyo "forever".
Duniani bado watu wanazitegemea dini zilizowadanganya kwa miaka maelfu kuwaokoa. Wanadhani Yesu na Deities wengineo watarudi, never.
Hao wakina Elon Musk wanajua siri na asili ya binadamu na miungu yao ndo inetengeneza hii hybrid ya binadamu huyu wa leo ambaye ni "nothing".Tafakari upya
HaiwezekanHabari wadau..
unaambiwa katika uvumbuzi uliozua gumzo ni huu wa Elon Mask uliofanyika katika Tesla Artificial Intelligent Event "Tesla AI event".
Robot ya 5ft na 8in ikiwa na 125pound yenye screen usoni ambayo inauwezo wa kusoma kile unachokiwaza na kutoa maandishi ya kile unachowaza kwenye screen iliyo kwenye paji la uso wa Roboti.
Hii ikija Bongo sijuhi itakuwaje?
View attachment 1899487
Na nakomaa nazo hadi wazifute.. .hahahWewe nae subiri tozo huko tusichoshane mkuu.
Komaa tu hakuna namna.Na nakomaa nazo hadi wazifute.. .hahah