Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Sio kweli hapa Mungu umemsingizia tuu.Alietuumba mwenyewe alituweka na uwezo huu wa kutojuana mawazo alikuwa na maana yake!
Haya sasa wameingia viherehere watatuuwa hawa..[emoji28]
Yaani nikiwaza tu jinsi UKRISTO unapokuwa wa kwanza kutolewa mfano juu ya upingwaji wa IMANI naona kabisa kuna nguvu ya ibilisi inatumika ku mislead waamini,jiulize kuna dini ngapi lakini utasikia dini zilizoletwa na wazungu hivi ni kweli wazungu pekee ndio wameleta dini?tafakari.Ni ujinga kuondoka na hii concept kuwa " aliyetuumba anajua"..
Hatukuumbwa na asili hii, asili yetu ni kujua everything (knowingness ndo nature yetu)
Zamani kabla ya kuwa "binadamu" tulikuwa na uwezo wa kujua mawazo yote yanayowazwa. Tulikuwa na uwezo wa kuwasiliana na viumbe na mimea, yaani tulijua eveything, wala hatukuhitaji magari kwa vile tulikuwa na uwezo wa kufika mahali popote bila kusafiri...ni manipulation tu ndo imetuondolea powers zetu lakini tutarejea tena kwenye asili yetu hivi punde labda kama umepokea chanjo utabakia hivyo "forever".
Duniani bado watu wanazitegemea dini zilizowadanganya kwa miaka maelfu kuwaokoa. Wanadhani Yesu na Deities wengineo watarudi, never.
Hao wakina Elon Musk wanajua siri na asili ya binadamu na miungu yao ndo inetengeneza hii hybrid ya binadamu huyu wa leo ambaye ni "nothing".Tafakari upya
Zzamani gani hiyo mkuu? Kabla ya kuwa binadamu tulikuwa nani, umejuaje hayo? [emoji23] [emoji1787]Ni ujinga kuondoka na hii concept kuwa " aliyetuumba anajua"..
Hatukuumbwa na asili hii, asili yetu ni kujua everything (knowingness ndo nature yetu)
Zamani kabla ya kuwa "binadamu" tulikuwa na uwezo wa kujua mawazo yote yanayowazwa. Tulikuwa na uwezo wa kuwasiliana na viumbe na mimea, yaani tulijua eveything, wala hatukuhitaji magari kwa vile tulikuwa na uwezo wa kufika mahali popote bila kusafiri...ni manipulation tu ndo imetuondolea powers zetu lakini tutarejea tena kwenye asili yetu hivi punde labda kama umepokea chanjo utabakia hivyo "forever".
Duniani bado watu wanazitegemea dini zilizowadanganya kwa miaka maelfu kuwaokoa. Wanadhani Yesu na Deities wengineo watarudi, never.
Hao wakina Elon Musk wanajua siri na asili ya binadamu na miungu yao ndo inetengeneza hii hybrid ya binadamu huyu wa leo ambaye ni "nothing".Tafakari upya
Kabla ya Kuwa "Binadamu" tulikuwa "Watu" yaani Man versus Human....neno Human limekuja baada ya Man kuwa Modified hivyo huyu binadamu wa leo ni Hybrid..na Adam is said to be the a first hybrid na akatengenezwa kwa kuendeleza kizazi kwa style ya ngono..." zaeni mkaongezeke"Zzamani gani hiyo mkuu? Kabla ya kuwa binadamu tulikuwa nani, umejuaje hayo? [emoji23] [emoji1787]
Usibishe kitu kama hujui...ujinga wake usije kuuleta humu...nadhani kushika sana dini kumekufanya kuwa mjinga, utakuta mtu kasoma shule na kuwa Dk au profesa lakini amekumbatia dini na kubaki na ujinga wake..Ni uongo mtupu hakuna mtu au jini au shetan au malaika ajuaye akiwazacho mwanadam n MUNGU pekee rejea yeremia 17 :9 1wakorintho wa 2; 11
Duuuuh sikutegemea na sitegemei elimu ya darasan kumfanya mtu aamin kitu cha kijinga ( robot kusoma mawazo ya binadam) nyie ndo wale wale ambao mnawakaririsha watu kuwa mzungu alitengeneza mtu akashindwa moyo😇😇😇 the basic science is some complicated mechanism of brain functioning remain to be unknown up to date. Na nikwambie tuu hakuna mechanism ya kuelezea mawazo yanavotokea sembuse kuyasoma??Usibishe kitu kama hujui...ujinga wake usije kuuleta humu...nadhani kushika sana dini kumekufanya kuwa mjinga, utakuta mtu kasoma shule na kuwa Dk au profesa lakini amekumbatia dini na kubaki na ujinga wake..
Unafahamu Artificial Intelligence zinavyofanya kazi? Hizi Semiconductors zina "awareness of itself" zinajua unachokiwaza na unachokifanya..hata sisi binadamu ni just "biological computer" na brain zetu zinafanya kazi digitary yaani kama computer tu, kama computer ina RAM , Harddisk the same to brain zetu.
Ndo maana TCRA na dunia yote ilibadilisha teknology kutoka analogue kwenda digital lengo ni ku connect human brain with machine kwa vile zote zinafanya kazi sawa sawa na ndio hicho kinachokwenda kufanyika duniani kote kupitia chanjo ya Covi19, hii ni chanjo yenye microchip (inatumia nanotechnology) ya Artificial intelligent (huandikwa Ai) ili kuwaconnect binadamu wote kwenye global computer..
Watu wajinga wasio na "awareness" wanajipeleka kwenye hizi chanjo bila kujua agenda yake ni nini ( nishakuambia)
Wameudanganya ulimwengu (agenda imetoka kwa Lucifer) kwa kuleta agenda kupitia Media (Mainstream media zote duniani ni mali yao) ambapo wametumia njia iitwayo PRS ( Problem , Reaction , Solution) yaani unaanzisha problem, public ina React then inaomba msaada ambapo wao wenyewe wanakuja na Solution ambayo ndio Chanjo.
Unapobisha bila kufanya uchunguzi ni kujionyesha una kiwango cha juu cha ujinga.
Mambo ni mengi.
Kila unapoleta jambo jipya kwa "Binadamu" wajinga wa leo ni kupinga kwa vile hilo jambo halijaandikwa kwenye Education (mind programming) au dini (mind control programming)
Ndo maana hata Authority inakuja na agenda yake na kusema jambo hili ni la kitaalamu kwa vile Goverments pia ni mali ya hizi Secret Society ambao wana agenda hii ya Lucifer.
Sijui niandike kitabu?
Hii nadhani itapigwa marufuku maana ni kinyume na haki za binadamuAlietuumba mwenyewe alituweka na uwezo huu wa kutojuana mawazo alikuwa na maana yake!
Haya sasa wameingia viherehere watatuuwa hawa..😅
Na microchip haiwez kufanya mind controlling hakuna kifaa wala kitu chochote kinachoweza kumtawala binadam bila yeye mwenyewe kuridhia na ikitokea hivo sasa huyu binadam ataenda jehanam kwa kosa lipi wakati hakuwa yeye n microchip ilokuwa ikimtawala?? Microchip haiwez kutawala ubongo wa mwanadam lbda useme ina weza kufanya location kwa kuwa na GPSUsibishe kitu kama hujui...ujinga wake usije kuuleta humu...nadhani kushika sana dini kumekufanya kuwa mjinga, utakuta mtu kasoma shule na kuwa Dk au profesa lakini amekumbatia dini na kubaki na ujinga wake..
Unafahamu Artificial Intelligence zinavyofanya kazi? Hizi Semiconductors zina "awareness of itself" zinajua unachokiwaza na unachokifanya..hata sisi binadamu ni just "biological computer" na brain zetu zinafanya kazi digitary yaani kama computer tu, kama computer ina RAM , Harddisk the same to brain zetu.
Ndo maana TCRA na dunia yote ilibadilisha teknology kutoka analogue kwenda digital lengo ni ku connect human brain with machine kwa vile zote zinafanya kazi sawa sawa na ndio hicho kinachokwenda kufanyika duniani kote kupitia chanjo ya Covi19, hii ni chanjo yenye microchip (inatumia nanotechnology) ya Artificial intelligent (huandikwa Ai) ili kuwaconnect binadamu wote kwenye global computer..
Watu wajinga wasio na "awareness" wanajipeleka kwenye hizi chanjo bila kujua agenda yake ni nini ( nishakuambia)
Wameudanganya ulimwengu (agenda imetoka kwa Lucifer) kwa kuleta agenda kupitia Media (Mainstream media zote duniani ni mali yao) ambapo wametumia njia iitwayo PRS ( Problem , Reaction , Solution) yaani unaanzisha problem, public ina React then inaomba msaada ambapo wao wenyewe wanakuja na Solution ambayo ndio Chanjo.
Unapobisha bila kufanya uchunguzi ni kujionyesha una kiwango cha juu cha ujinga.
Mambo ni mengi.
Kila unapoleta jambo jipya kwa "Binadamu" wajinga wa leo ni kupinga kwa vile hilo jambo halijaandikwa kwenye Education (mind programming) au dini (mind control programming)
Ndo maana hata Authority inakuja na agenda yake na kusema jambo hili ni la kitaalamu kwa vile Goverments pia ni mali ya hizi Secret Society ambao wana agenda hii ya Lucifer.
Sijui niandike kitabu?
Mtu pekee awezaye kukubali kuwa robot anaweza kusoma akili au ufaham wa mwanadam n yule ambae hakuielewa biologia ety robot asome mawazo ya aliyemuumba duuuh n sawa na ww kusema unaweza soma mawazo ya MUNGU au ety shetan aweze kujua awazacho MUNGU impossible hiyo AI haiwez full stopUsibishe kitu kama hujui...ujinga wake usije kuuleta humu...nadhani kushika sana dini kumekufanya kuwa mjinga, utakuta mtu kasoma shule na kuwa Dk au profesa lakini amekumbatia dini na kubaki na ujinga wake..
Unafahamu Artificial Intelligence zinavyofanya kazi? Hizi Semiconductors zina "awareness of itself" zinajua unachokiwaza na unachokifanya..hata sisi binadamu ni just "biological computer" na brain zetu zinafanya kazi digitary yaani kama computer tu, kama computer ina RAM , Harddisk the same to brain zetu.
Ndo maana TCRA na dunia yote ilibadilisha teknology kutoka analogue kwenda digital lengo ni ku connect human brain with machine kwa vile zote zinafanya kazi sawa sawa na ndio hicho kinachokwenda kufanyika duniani kote kupitia chanjo ya Covi19, hii ni chanjo yenye microchip (inatumia nanotechnology) ya Artificial intelligent (huandikwa Ai) ili kuwaconnect binadamu wote kwenye global computer..
Watu wajinga wasio na "awareness" wanajipeleka kwenye hizi chanjo bila kujua agenda yake ni nini ( nishakuambia)
Wameudanganya ulimwengu (agenda imetoka kwa Lucifer) kwa kuleta agenda kupitia Media (Mainstream media zote duniani ni mali yao) ambapo wametumia njia iitwayo PRS ( Problem , Reaction , Solution) yaani unaanzisha problem, public ina React then inaomba msaada ambapo wao wenyewe wanakuja na Solution ambayo ndio Chanjo.
Unapobisha bila kufanya uchunguzi ni kujionyesha una kiwango cha juu cha ujinga.
Mambo ni mengi.
Kila unapoleta jambo jipya kwa "Binadamu" wajinga wa leo ni kupinga kwa vile hilo jambo halijaandikwa kwenye Education (mind programming) au dini (mind control programming)
Ndo maana hata Authority inakuja na agenda yake na kusema jambo hili ni la kitaalamu kwa vile Goverments pia ni mali ya hizi Secret Society ambao wana agenda hii ya Lucifer.
Sijui niandike kitabu?
Unaifahamu study inayoitwa Dianetics au Scientology? Acha ujinga wako.Na microchip haiwez kufanya mind controlling hakuna kifaa wala kitu chochote kinachoweza kumtawala binadam bila yeye mwenyewe kuridhia na ikitokea hivo sasa huyu binadam ataenda jehanam kwa kosa lipi wakati hakuwa yeye n microchip ilokuwa ikimtawala?? Microchip haiwez kutawala ubongo wa mwanadam lbda useme ina weza kufanya location kwa kuwa na GPS
Ushawahi kucheza Video game ambazo ni Visual Reality? Au wanafunzi wanaojifunza urubani wanapokuwa kwenye simulator unajua kinachofanyika ni nini kwenye brain yako hadi unashindwa kutofautisha reality na fiction?Hivyo vingine vinaweza kuwa kweli lakini kwenye kusoma fikra zako na kujua exactly unachokifikiria at the time ni impossible even in 200 years na kama ikiwezekana kwa asilimia kubwa itakuwa ni prediction.
Maybe in the next 1000 years.
Maybe itaweza kusoma hisia kwa kuangalia facial expression mfano una huzuni, hasira, furaha nk vitu ambavyo hata mtoto anaweza tambua.
Au Labda kama watakupandikiza chips zao au kujua history ya maisha yako na mambo unayofanya kila siku labda data kutoka kwenye simu yako. Then hapo sawa lakini bado itakuwa ni prediction.
Mpaka leo binadamu ameshindwa kujua how consciousness works ni mystery bado.
Hivyo kujua kwa exactness mtu mwengine anachofikiria ni impossible.
Kingine huyu jamaa ni mtu wa kick sana.
You know I thought you were smart but you're deluded asf.Hivyo hata hizo Ai machines zimetengenezwa kwa style hiyo..
SeriouslyHii body including brain hurusha mawimbi ( frequency) ambayo yanaweza kuwa hacked na decoding system na kuona rality.
Ni kama Tv yako inavo decode frequecies na kuona picha na sauti kwenye screen yako.
Unaposema virtual basi tayari ubongo unajua sio reality.Ushawahi kucheza Video game ambazo ni Visual Reality? Au wanafunzi wanaojifunza urubani wanapokuwa kwenye simulator unajua kinachofanyika ni nini kwenye brain yako hadi unashindwa kutofautisha reality na fiction?
Yeah.Ungekuwa unafahamu brain inavofanya kazi usingeleta ujinga wako hapo wa kutojua, ni afadhali ujifanye mjinga ili uelimishwe kuliko kujifanya unajua..
Unaifahamu study inayoitwa Dianetics au Scientology? Acha ujinga wako.
Kuna taasisi inaitwa "Mkutra" ina deal na Mind Control Projects na imeharibu wengi sana, ni kitengo cha CIA.....ngoja nisienndelee, sidhani kama unaongea kwa akili zak