Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba
"Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe
Ninapojitazama mimi sistahili
Ninazo dhambi tele
Shetani kanisonga
Yesu uniokoe
Unishike mkono bwana
Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian Makongolosi Chunya, Natafuta Choir moja iliimba " Dunia itakunjwa".
Kuna Moravian Ukonga na wimbo wao Ni Kushangaa tu... Hizi nyimbo hazipatikani kwa sasa.