Kawaulize wahusika hapa utaambulia matusi si unawajua.ngoja waje.Naomba kujua hii katiba mpya inayopigiwa upatu ,ni nani mnufaika mkubwa? Kama ni mwananchi je kipato cha mwananchi kitaongezeka?,huduma za afya ,elimu,maji,umeme,usafiri vitaboreshwa?ndani ya katiba mpya ? Mwananchi ananufaikaje?. Upande wa CHADEMA wananufaikaje,KWENYE siasa? CCM itanufaikaje, ?