Naomba kujua hii katiba mpya inayopigiwa upatu ,ni nani mnufaika mkubwa? Kama ni mwananchi je kipato cha mwananchi kitaongezeka?,huduma za afya ,elimu,maji,umeme,usafiri vitaboreshwa?ndani ya katiba mpya ? Mwananchi ananufaikaje?. Upande wa CHADEMA wananufaikaje,KWENYE siasa? CCM itanufaikaje, ?