Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
 
- Matapeli like U Kampuni YAKO ipo wapi hapa Mjini? HAHAHAHAHAH kazi KUANDIKA ujinga ujinga na majina ya BANDIA halafu unajitaje Mamen? Please HAHAHAHA

Le Mutuz
 
Hivi haka si ndo kale kakubwa jinga ka Marekani kalikotosa mke na watoto wake na kuja hapa Bongo kupiga picha na mademu anaowauza mtandaoni?
 
- Matapeli like U Kampuni YAKO ipo wapi hapa Mjini? HAHAHAHAHAH kazi KUANDIKA ujinga ujinga na majina ya BANDIA halafu unajitaje Mamen? Please HAHAHAHA

Le Mutuz

Aaaaah baba swalehe wewe labda bilionea wa kwacha za malawi.......mwenye pesa anajulikana sio wewe unakaa NHC kma njiwa jenga yko ndio ujisifu sio kuja hpa n blahblah z kijinga....huo ujinga kawaambie kina baba swalehe wenzako
 
- hahaha eti kampuni yako hapa mjini iko wapi yangu ipo hapa Tancot House gorofa ya pili, wewe yako ipo wapi? hahahaha mmezoea kut
ishia wajinga wajinga ninapoishi wewe huwezi kulipia mjinga utaishia hapa hapa kuandika andika matusi na majina bandia mwanaume mzima huna maisha unahangaika kujadili wanaume wengine hahahahahaha pole sana kama una shida ya kazi njoo nikuajiri mazafantazz!!

le Mutuz
 
le babuzzz danganya hao wajinga wenzako huna kitu wewe hilo liko wazi
 
Baba swalehe lemutuz tafadhal acha porojo zako za kusema wewe bilionaire kumbe unakaa kwenye kibanfa cha njiwa cha msajili kodi yenyewe laki moja na nusu yani unakaa kwenye kibanda cha njiwa kama mtoto wa kihindi anayeanza maisha na kijiofisi chake cha msaada hahaha na le super niah bilionaire wa kwanza kuendesha daladala,ulikaa america miaka 30 halafu umerudi bongo dola elfu moja tu kama sio utahira na ujinga ni nini halafu bado unajisifia haha,una kibanda chako cha msada wa babako pamoja na kina neema ngululupi hadi leo over 20yrs tangu muanze kujenga lakini hakimaliziku wrwe kila siku kupiga domo tu upambe tu haha,pls watu wenye umri wako kama kina membe na mbowe wanabishana na raisi na nchi inawasikiliza wewe kazi yako kwenda kutoka majasho tu club na kunuka mdomo tu mbele za vitoto ambavyo viko sawa na watoto wako kina Agapeo na Leona haha pls grow up old fool baba swalehe.
 
Huyu jamaa hua napenda tu watu wamchokoze ni burudani tupu.Anajua sana kujitetea
 
we mshikaji vepe mi nakujua kitambo sana toka tukizama chimbo zetu zileee then ukaingia kwenye blog...unakumbuka baharia.. We huna lolote.ila sifa kubwa sana unayotakiwa kujivunia ni mwili tuuuu vitu vingine kama ujanja wa njini, mapene veve ni mweupeee kabaisa.
 
- Matapeli like U Kampuni YAKO ipo wapi hapa Mjini? HAHAHAHAHAH kazi KUANDIKA ujinga ujinga na majina ya BANDIA halafu unajitaje Mamen? Please HAHAHAHA

Le Mutuz
veve le jingaz vepe hujui kuna watu hawana kampuni zinazotambulika ili hali ni mabilionea...umenielewa mtu mpana mwenye ubongo mdogo... ok na unajua kuna watu wenye vi-company vidogo kama veve na na kila siku wanajitapa mtandaoni upooo
 
mwanao anataka zawadi ya birthday....anaomba umnunulie japo kagari alafu ulichelewa mno kuzaa yule angefaa kuwa mjukuu wako sio mtoto wako baba swalehe
 
Le mutuz ndo nini???
Le mutuz ndo nini???
Le mutuz ndo nini???

naona umepiga picha na mjukuu wako ila mjukuu hana adabu kabisa anaanzaje kukuita baba swalehe?!
 
mwanao anataka zawadi ya birthday....anaomba umnunulie japo kagari alafu ulichelewa mno kuzaa yule angefaa kuwa mjukuu wako sio mtoto wako baba swalehe

mkuu hilo swala gumu sana ni sawa na kusubiria treni airport...mbaba swalehe ni mdananda hana kitu na ndio baharia mwenye degree 3 za ujinga africa nzima.....mwambie leona avumilie tu kuanzia mwezi wa 5 atakua DC wa mtera maisha yatakua tambarare
 
mwanao anataka zawadi ya birthday....anaomba umnunulie japo kagari alafu ulichelewa mno kuzaa yule angefaa kuwa mjukuu wako sio mtoto wako baba swalehe

- hahahahahaha tizama mlikoanzia na Nickwapili sasa imekuwa mtoto hahahahahaha, halafu nilikuwa sijaangalia kumbe tayari ni page 4 ila viewers 10,000 ndio maana ya Super Celebrity I love it!!

le Mutuz
 
- hahahahaha miaka 5 ya divorce bado una maumivu unachekesha mimi nilishakusahau kabisa nasonga mbelezzz hahahahaha utalia na Social MEdia all your life utaishia huyo huyo mume wa mtu, kupata mume kama mimi huwezi cause ni mtumzima sana so utaishia kuruka ruka na waume za watu, pole sana Wasawahili wanasema "Mkataa pema pabaya panamuita" uliyataka mwenyewe hahahahahahaha, sasa najitayarisha kwenda Dubai, nikirudi Lagos maisha yanasonga pole sana nasikia snow huko ni balaaa! hahahaha huku bongo ni summer tu hahahaha

le Mutuz
 
Le baburz, Le zeez, akili ndogo mwili jumba lini utaacha kuhudhuria afterskul bash??
 
hilo shati ukimpa nikki atafanya shuka mkuu Baba swalehe
swissme
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…