Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Hii kitu Kuna jamaa yangu kaiweka kwenye gari zake na aliniambia hata gharama za kuifunga ni ndogo kulinganisha na yale madude mengine ya kizungu
 
Funga car track zaid ya Moja kwenye gari Yako ikibidi chongesha na zile chain broker kama wanazo tufungiaga wa manispaa hata chain mbili funga gari Yako pande mbili ,kingine park gari Yako. Karbu na dirisha unalo lala. Cha mwsho nunua bastola sku ukiwafumania wakosekose hata makusudi hawatorud milele
 
Dada yangu alilizwa IST Yake July Mwaka huu pale Kinondon biafra alikuwa salun maskini akajisahau.

Sijui waliiwasha vipi Mpaka Leo haijapatikana.

Vitu vya kuzingatia ni parking park gari sehem ambayo kuna movement sana ya watu kuna watu wanapenda kupark sehem zenye maficho ni risk sana utakuta wametoa taa hii nchi ina watu wa hovyo sana.

Mimi niko radhi nipaki gari hata sehem kama kuna malipo coz gari inakua salama, dada zetu wengi wanajisahau unakuta hakufunga mlango. Mimi na mamdogo wangu yani ni careless ana anazma gari ila unakuta kioo cha nyumw kipo wazi, au anasahau funga mlango
 
pamoja na soko pia, shukrani kwa kuongezea, ila pia gari za europe sio rahisi kuunlock na kuliwasha kirahisi rahisi.....hata ukivunja kioo issue inakuja kuwasha....haya ya kijapan mengi ukitoa ign unaunga waya twende, funguo malaya pia zinawasha....
Hakuna gari ambayo haiwezi kufunguliwa na hawa wahuni wa mjini.ila hayo ya ulaya hawaangaiki nayo kwasababu ya usumbufu wakuuza spare.Ila wabongo wakipata muda sio watu wa kuchezea kabisa ata spare za ndege wanaweza kuiba.
 
Hao wezi wa ajabu wanakimbia mbwa si wangemrushia pande LA nyama waendelee na Yao

Hizo dawa za usingizi dawa yake maji weka maji ndani yaache bila kufunika

Hawakujua afu mbwa alikua mdgo, huwa anafungwa chini ya gari alikua mtoto sasa hawakujua ile mbwa kubweka wakashtuka ndo kukimbia
 
Next time,mleta mada uhakikishe mada yako inalenga kuelimisha jamii.ninavyoona michango ya wadau na jinsi ulivyouliza + unavyozidi kudadisi.......ni kama unahamasisha huu wizi na kuuchambua ili uwe rahisi kwa baadhi ya wezi ambao hawajui wafanyeje.
Wachangiaji walenge kuelimisha jinsi ya kujikinga zaidi na kulinda nagari yao,wafanya biashara wa tracking na security ya nagari walete mbinu zao hapa...ili jamii iwe salama.

Najua sijui.
 
kupitia Mada ya kudadisi, ndipo Watu wamefunguka na kutushirikisha uzoefu na solutions
 
Mkuu nini tena
Enzi za bab smbk moshi,moshi ilikuwa htr
Nliendaga na jamaa yng mmoja alikuwq dereva
Shirika la IFAD kufika moshi mitungi mitungi
Pale malindi,jamaa wakasema hii cruser mkonge
Hapa sijui kama mtatoboa
Sasa tulipoenda kulala usiku mnene Hotel
Yule jamaa yangu alifungua usukani akaingiaa nao ndani,sasa nkikumbka comment ya jamaa nacheka sanaaa
Taili akatoa upepoo
(RIP MALLYA)

Ova
 
Uwizi hutokea sana mitaa tulivu,misibani,kwenye sherehe
Majumbani wakija iba basi jua wamepewa info
Kuna watoto fulani mixer kiarabu wezi sana wa vifaa vya magari walikuwa wanatumia Ford ranger...hao mwishonimwishoni walikuwa hatar sana wakija basi jua wanakwangua gari lako lote

Ova
 
Vp walikamatwa?
 

Uyo jamaa alikua htr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…