mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
😂😂😂 UMENIKUMBUSHA MBALI SANADawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 UMENIKUMBUSHA MBALI SANADawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
Hii kitu Kuna jamaa yangu kaiweka kwenye gari zake na aliniambia hata gharama za kuifunga ni ndogo kulinganisha na yale madude mengine ya kizunguHata pikipiki wanafanya, ni kwamba ule waya unaocomplete circuitry ya kuwasha gari unakatwa kisha unafanyiwa bypass inayoenda hadi sehemu iliyojificha na ambayo unaijua wewe tu (mfano chini ya dash drawer) ambapo inawekwa switch hapo, kwahiyo bila kufungua ile dash drawer na kubetua ile switch, hakuna namna moto utaenda kwenye ‘Control box’ ya engine, hivyo starter itakuwa inazunguka tu lakini engine haipokei, maana ignition timing yote ipo controlled na ‘control box’, na kwa kuwa ni wezi, hawatakiwa na muda wa kuchomeka diagnostic machine kugundua tatizo lilipo, hivyo watakimbia tu...; infact, hata gari zenye immobiliser (keys /control box) hufanya kazi kwa technique kama hii
Sie wa miguu tuna comment wapiMi wa Maserati huu wizi haunihusu
Hehe [emoji39] mkae kimya tuSie wa miguu tuna comment wapi
Duh!!!, very sad.Dada yangu alilizwa IST Yake July Mwaka huu pale Kinondon biafra alikuwa salun maskini akajisahau.
Sijui waliiwasha vipi Mpaka Leo haijapatikana.
[emoji23][emoji23][emoji23] UMENIKUMBUSHA MBALI SANA
ova
Dada yangu alilizwa IST Yake July Mwaka huu pale Kinondon biafra alikuwa salun maskini akajisahau.
Sijui waliiwasha vipi Mpaka Leo haijapatikana.
Hakuna gari ambayo haiwezi kufunguliwa na hawa wahuni wa mjini.ila hayo ya ulaya hawaangaiki nayo kwasababu ya usumbufu wakuuza spare.Ila wabongo wakipata muda sio watu wa kuchezea kabisa ata spare za ndege wanaweza kuiba.pamoja na soko pia, shukrani kwa kuongezea, ila pia gari za europe sio rahisi kuunlock na kuliwasha kirahisi rahisi.....hata ukivunja kioo issue inakuja kuwasha....haya ya kijapan mengi ukitoa ign unaunga waya twende, funguo malaya pia zinawasha....
Hao wezi wa ajabu wanakimbia mbwa si wangemrushia pande LA nyama waendelee na Yao
Hizo dawa za usingizi dawa yake maji weka maji ndani yaache bila kufunika
kupitia Mada ya kudadisi, ndipo Watu wamefunguka na kutushirikisha uzoefu na solutionsNext time,mleta mada uhakikishe mada yako inalenga kuelimisha jamii.ninavyoona michango ya wadau na jinsi ulivyouliza + unavyozidi kudadisi.......ni kama unahamasisha huu wizi na kuuchambua ili uwe rahisi kwa baadhi ya wezi ambao hawajui wafanyeje.
Wachangiaji walenge kuelimisha jinsi ya kujikinga zaidi na kulinda nagari yao,wafanya biashara wa tracking na security ya nagari walete mbinu zao hapa...ili jamii iwe salama.
Najua sijui.
Enzi za bab smbk moshi,moshi ilikuwa htrMkuu nini tena
Siyo kweli. Usipotoshe Umma.Sema wanachelewa kukulipa hao. Oooohhh[emoji3166][emoji3166]
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Uwizi hutokea sana mitaa tulivu,misibani,kwenye shereheVitu vya kuzingatia ni parking park gari sehem ambayo kuna movement sana ya watu kuna watu wanapenda kupark sehem zenye maficho ni risk sana utakuta wametoa taa hii nchi ina watu wa hovyo sana.
Mimi niko radhi nipaki gari hata sehem kama kuna malipo coz gari inakua salama, dada zetu wengi wanajisahau unakuta hakufunga mlango. Mimi na mamdogo wangu yani ni careless ana anazma gari ila unakuta kioo cha nyumw kipo wazi, au anasahau funga mlango
Vp walikamatwa?Uwizi hutokea sana mitaa tulivu,misibani,kwenye sherehe
Majumbani wakija iba basi jua wamepewa info
Kuna watoto fulani mixer kiarabu wezi sana wa vifaa vya magari walikuwa wanatumia Ford ranger...hao mwishonimwishoni walikuwa hatar sana wakija basi jua wanakwangua gari lako lote
Ova
Haina madhara kabisaHaina madhara toa weka
Enzi za bab smbk moshi,moshi ilikuwa htr
Nliendaga na jamaa yng mmoja alikuwq dereva
Shirika la IFAD kufika moshi mitungi mitungi
Pale malindi,jamaa wakasema hii cruser mkonge
Hapa sijui kama mtatoboa
Sasa tulipoenda kulala usiku mnene Hotel
Yule jamaa yangu alifungua usukani akaingiaa nao ndani,sasa nkikumbka comment ya jamaa nacheka sanaaa
Taili akatoa upepoo
(RIP MALLYA)
Ova