kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ni single maza wa watoto wawiliNipe no yake niwe nasolve issue ndogo ndogo kama hizo😄
Ooh okNi single maza wa watoto wawili
Asante sana mkuu nitafanya hivyo maana imezidi anatuma meseji juu ya meseji ya mwezi huu haijibiwi hajiongezi mwezi mwingine anaongeza nyinginePole sana ,mtu wa namna hiyo inabidi umfanye ajue wewe sio chizi kwamba umesahau mabaya yake .
Mpigie simu mchane mwanzo mwisho na pia mueleze hizi habari za kuombana hel akome mara moja .
Utaishi kwa amani lakini kwa mipaka na huyo chuma ulete .
Sasa wee sii umrudishe 30k yake alafu mwambie tusiulizane masula ya pesa tenaZa jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.
Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni yao na mama yao, sikuwa napigiwa simu nilitumiwaga elf30 tu, na kipindi hicho nilikuwa nahihitaji support ya pesa ya ada ila walijikausha, wakaenda kununua eneo huko maporini hatimaye kumewashinda huko wamerudi huku Dar wamepanga.
Ndiyo huyu dada sasa ni mara nyingi sana ananitumiaga meseji za mara nimkopeshe hela mara nimsaidie mimi, anadhani nimesahau walichonifanyia, naombeni ushauri wenu huwa mnafanyaje kwa ndugu kama hawa.
View attachment 3429287
Nitapungukiwa na itaharibu mipango yangu, acha tu atapata kwa waliokula nao pesa zao za kiwanjawewe toa tu kama unayo , hutapungukiwa.
Nilishawahi kumpa pesa hata hiyo elf30k itakuwa imeshapitaSasa wee sii umrudishe 30k yake alafu mwambie tusiulizane masula ya pesa tena
Fanya hivyo bwana waifu material yaani mimi nikupe stress za kukupigia simu kila mara uwe wangu ,na huyo chuma ulete akupe stress hapana aisee sio sawa usikubali kabisaAsante sana mkuu nitafanya hivyo maana imezidi anatuma meseji juu ya meseji ya mwezi huu haijibiwi hajiongezi mwezi mwingine anaongeza nyingine
Hivi huwa hawaonagi aibu watu wa hivi, na je kila akikupigia huwa unamkopesha?Hauko pekeako mkuu Mimi Nina braza angu yaani akipiga simu ni dogo nikopeshe hela TU...asipokuwa na shida hakupigii hatakukusalimia tu
Nitakufa na stress jamani😹😹Fanya hivyo bwana waifu material yaani mimi nikupe stress za kukupigia simu kila mara uwe wangu ,na huyo chuma ulete akupe stress hapana aisee sio sawa usikubali kabisa
Amen 🙏Jumapili hii tuombe Mungu atujalie roho ya kupata kipato
Basi nae acha ujinga msanue ukweli akikasirika akasirike tuu binadamu ni wajinga ukiwaendekeza.Nilishawahi kumpa pesa hata hiyo elf30k itakuwa imeshapita
Acha roho mbaya huyo ni ndugu yako akikuomba hela mpe. Sharing is caring, ndugu siyo kufanana tu bali kufaana.Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.