Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.

Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni yao na mama yao, sikuwa napigiwa simu nilitumiwaga elf30 tu, na kipindi hicho nilikuwa nahihitaji support ya pesa ya ada ila walijikausha, wakaenda kununua eneo huko maporini hatimaye kumewashinda huko wamerudi huku Dar wamepanga.

Ndiyo huyu dada sasa ni mara nyingi sana ananitumiaga meseji za mara nimkopeshe hela mara nimsaidie mimi, anadhani nimesahau walichonifanyia, naombeni ushauri wenu huwa mnafanyaje kwa ndugu kama hawa.
View attachment 3429287
M block fasta
 
Acha kulalama mwanamume,hujaelewa nini hiyo SMS, amesema niarushie 5000 kama utakuwa nayo,jibu mbona jepesi na sio kulalama mitandaoni, elewa neno kama utakuwa nayo
 
Mi kuna binamu yangu alikua anahiyo michezo..
Nikaanza na mimi kumfanyia ujinga kila akiomba pesa namwambia afate ghetto..

Tena nikawa namwambia njoo uchukue mchumba,,,, weee tangu hapo akawa hana huo ujinga..

Angejichanganya kuja ningemuweka ukuni alafu ndo awe anakula pesa kihalali

Ila ndgu wengine ambao ni tumbo moja na mimi hata iweje mi nampa tuu atajijua yeye napenda sana hawa wadogo zangu...
Sitaki waje wanyanyasike huko ndo mana mapema tatoa tu..
Ila hawa wadogo zangu wa kiume huwa nawapa kama kuna issue ngumu mybe anataka pesa aongezee afanye kitu flani
Ila huku mwanzoni umenichekesha dah! Haya hongera kwa kujali ndugu zako ila mimi huwa napenda kujali wanaonijali alivyokuwa nazo hakunikumbuka
 
Back
Top Bottom