kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #61
Hayupo anatumia kiswaswaduNje ya mada,
Hivi mnaoanzisha mada za aina hii,hua mna uhakika gani kua hao mliowaanzishia hizi mada,wao sio member wa humu JF?
Hayupo anatumia kiswaswaduNje ya mada,
Hivi mnaoanzisha mada za aina hii,hua mna uhakika gani kua hao mliowaanzishia hizi mada,wao sio member wa humu JF?
Sasa vipi ujue nakupendaMimi siyo mwanaume mkuu, asante nimeelewa lakini
Mwambie ni vema akafanya shughuri ya kumwingizia kipato, kwani Kuna siku utakuwa Hauna pesa ya kumsaidia,kwani siku hazifanani.Atafute mtaji nusu na we mwongezee nusu na uhakikishe anaanza kama ni biashara.Kisha mnaachana hapo ili asipate sababu ya kukulaumu! Ahsante.Iko hivi mkuu ishu siyo ukubwa wala udogo wa hiyo pesa ila hii tabia ya kuniomba omba kila mara ndiyo inayonikera
Umbali aliouweka wakati wa shida zako, Na wewe weka umbali huo mara mbili zaidi, wakati wa mafanikio yako.Asante kwa ushauri mkuu nitamfikishia huu ujumbe
Hapo nimeanzia mwishoni ila ananiombaga mara nyingi sanaKuna watu wao kila akikupigia simu ni kuomba hela tu bila kujali juzi ulimtumia pesa tena nyingi tu. Yaani huyo keshakuona wewe ATM yake. Muweke ignore list
Kama alipata more than one million hakufanya biashara yoyote unadhani hata nikimpa laki 1 anaweza kufanya biashara, ni kwamba hawezi na mimi siwezi kupoteza hela yangu kumsaidia mtu asiyekumbuka wengine akiwa nachoMwambie ni vema akafanya shughuri ya kumwingizia kipato, kwani Kuna siku utakuwa Hauna pesa ya kumsaidia,kwani siku hazifanani.Atafute mtaji nusu na we mwongezee nusu na uhakikishe anaanza kama ni biashara.Kisha mnaachana hapo ili asipate sababu ya kukulaumu! Ahsante.
Waliotengeneza simu walikupa njia na namna nyingi za kufanya kuzuia mawasiliano yoyote na mtu usiyetaka.Mimi nataka aache kunisumbua kabisa sijui nifanyaje
Leo nimeamua nimjibu tu siku nyingine ntamkaushiaUkiona mtu anakuomba sana hela usiwe unamjibu.
Atapotea mwenyewe. Kausha kama huelewi.
Mimi ni mdogo wako wa kike lakini hunipagi hela.Mi kuna binamu yangu alikua anahiyo michezo..
Nikaanza na mimi kumfanyia ujinga kila akiomba pesa namwambia afate ghetto..
Tena nikawa namwambia njoo uchukue mchumba,,,, weee tangu hapo akawa hana huo ujinga..
Angejichanganya kuja ningemuweka ukuni alafu ndo awe anakula pesa kihalali
Ila ndgu wengine ambao ni tumbo moja na mimi hata iweje mi nampa tuu atajijua yeye napenda sana hawa wadogo zangu...
Sitaki waje wanyanyasike huko ndo mana mapema tatoa tu..
Ila hawa wadogo zangu wa kiume huwa nawapa kama kuna issue ngumu mybe anataka pesa aongezee afanye kitu flani
Nimeshasamehe ndiyo ila sihitaji kuwa karibu na wanafkiSamehe Mkuu & Move on.
Taanza kukupa usikhofu nimeghafilika na hawa wamama kiukweli wananichanganya kama leo jpili hii an hapa nasbr tu amalize kufanya usafi huyu mama lilly ili aje nimlombeMimi ni mdogo wako wa kike lakini hunipagi hela.
Kazi kuhonga mashangazi yaliyochoka tu.
Unawaendekeza, japo shida Haina mwenyewe... Jifunze kusema hapana. Ukimwambia huna zaidi ya mara tatu hatokutumia Tena sms za kulia Lia njaa. wote tuna majukum bhn toa pale ambapo Kuna uhitaji wa mhimu shem langu mremboHivi huwa hawaonagi aibu watu wa hivi, na je kila akikupigia huwa unamkopesha?
Wanazingua sana na wanajua muda wote una pesa kwenye simu au bank.....Ukimwambia huna yaani hapo ni kukutangaza kwa ukoo mzima kwamba una roho mbaya.Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.
Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni yao na mama yao, sikuwa napigiwa simu nilitumiwaga elf30 tu, na kipindi hicho nilikuwa nahihitaji support ya pesa ya ada ila walijikausha, wakaenda kununua eneo huko maporini hatimaye kumewashinda huko wamerudi huku Dar wamepanga.
Ndiyo huyu dada sasa ni mara nyingi sana ananitumiaga meseji za mara nimkopeshe hela mara nimsaidie mimi, anadhani nimesahau walichonifanyia, naombeni ushauri wenu huwa mnafanyaje kwa ndugu kama hawa.
View attachment 3429287
Anajua we ni begi la pesaHauko pekeako mkuu Mimi Nina braza angu yaani akipiga simu ni dogo nikopeshe hela TU...
Msaidie kiasi unavyomudu, sahau aliyokufanyia utaishi kwa amani na ndio ubinadamu uliotimia.Ni single maza wa watoto wawili
Wewe ni begi la pesa mzee na bro anajua hili,mpe helaHauko pekeako mkuu Mimi Nina braza angu yaani akipiga simu ni dogo nikopeshe hela TU...asipokuwa na shida hakupigii hatakukusalimia tu
Nimeshasahau muda tu, Asante nitafanya hivyo mkuuMsaidie kiasi unavyomudu, sahau aliyokufanyia utaishi kwa amani na ndio ubinadamu uliotimia.
Asante mkuu nitamsaidia kama nitakuwa kwa wakati huoUsishindwe na ubaya Bali ushinde ubaya Kwa wema
Kama unayo mpe.nae Mwenyezi atakubariki maradufu.
Na usifanye wema Kwa mtu Kwa ukiangalia amekusaidia Nini kwamba umrudishie wema wake.kama Kwa ndugu tu uko hivi vipi Kwa wahitaji?
Hata kwetu wapo