Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣🤣Kijiwe kipya! Nangojea wanasayansi wa buza na pongwe, na wanasheria wa majini watupe data
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kijiwe kipya! Nangojea wanasayansi wa buza na pongwe, na wanasheria wa majini watupe data
Aminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.Kuna MTU atakuja na sayansi nyingi hapa, lakini nakwambia Mkuu.... huko ndio kukabwa. Jifunze kufanya maombi... halafu muda huu ndio wenyewe em piga goti kemea hizo nguvu za Giza za kichawi na mapepo... in the name of Jesus!!!
Kweli bhana. Nimetamka ila spika haitoi sauti na mikono imekwama. Sema nikatamka kimoyo moyo mara pap najikuta mwepesi.Kisayansi wanasema ukilala chali kwa muda unaweza kuibana mishipa ya medula hali hiyo ikakukuta.
Ila kibongo bongo tunaita jinamizi hali hiyo ikikukuta ukitamka jina yesu inapotea muda huo huo , sauti itatoka na utajikunjua
Ndo kitu kingine kinachonifanya niamini Mungu yupo na Yesu alituokoa msalabani aisee wapuuzi wanakabaaa balaaa...!Kweli bhana. Nimetamka ila spika haitoi sauti na mikono imekwama. Sema nikatamka kimoyo moyo mara pap najikuta mwepesi.
Chakula cha mama ntilie unashibaje aisee. Kwanza nlipoza njaa tu sikushiba. Mimi kushiba lazima ugali mkubwa, samaki sato na mchicha poli wa kutosha.Na asishibe sana chakula cha jioni na Afanye mazoezi mwili uchoke
KumbeeeeSleep paralysis...!
Ukiwa umechoka au umeshiba sana na hasa ukilala kwa kujikunja na kubana baadhi ya misuli huwa inatokea (Apnoea)
SAwa ssma jana kwakel nmesahau hata kupiga ishara ya msalaba nkajilaz kama kuku manyoyaHao ni wachawi mpendwa! Mwamini Yesu na uokoke kabisa! Vinginevyo wewe utakuwa mtumwa wa wachawi
2 Wakorintho 10:3
Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;
2 Wakorintho 10:4
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome😉
2 Wakorintho 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;
Bwana weMda mwingine mtu anakuwa kalala vibaya tu dah umeshuka na mistari
hapa sasa lazima kuna tatizo. Aya ngoja nijipange kama tutalogana tulogane tu ila hii ngumu aiseeAminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.
Hali iyo huwa inanitokea sana na swala la maombi nimefanya sana haikusaidia lolote.Kuna MTU atakuja na sayansi nyingi hapa, lakini nakwambia Mkuu.... huko ndio kukabwa. Jifunze kufanya maombi... halafu muda huu ndio wenyewe em piga goti kemea hizo nguvu za Giza za kichawi na mapepo... in the name of Jesus!!!
Sema nashukuru niliweka kisimu changu pembeni hawajakiona na hela chini sakafuni hawajachukua. Leo ningetoa chozi walahNdo kitu kingine kinachonifanya niamini Mungu yupo na Yesu alituokoa msalabani aisee wapuuzi wanakabaaa balaaa...!
kisanzalaHali iyo huwa inanitokea sana na swala la maombi nimefanya sana haikusaidia lolote.
Ila nikinywa pombe na nikaingia kulala icho ki2 huwa hakinitokea hata mala 1.
We ulifanyaje likakusameheHata mimi nimewahi kukumbwa na hilo jinamizi....Ila ukweli linatesa sana
Paka vicks au kitunguu saumu katika paji la uso.Sawa. Sema ubavu ubavu siwezagi kabisa. Itbidi nikomae nisije kujimaliza
Kimoyomoyo KWA ulimwengu wa giza ni sauti kubwa sana usipime inafika mbali thus lazima wakuachieKweli bhana. Nimetamka ila spika haitoi sauti na mikono imekwama. Sema nikatamka kimoyo moyo mara pap najikuta mwepesi.
Hata uweke bilioni sio shida yao bali roho yao.Sema nashukuru niliweka kisimu changu pembeni hawajakiona na hela chini sakafuni hawajachukua. Leo ningetoa chozi walah
Hali kama hii huwa inanitokea pale ninaporukia kitanda bila kusali.Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).
Siko usingizini kiuhalisia najaribu kutoa sauti haitoki, nyanyua mkono wapi haunyanyuki. Yaani mwili wote uko disabled kasoro moyo na akili ndio vinafanya kazi.
Hivi ninyi huwa mbafanyaje kupambana na haya ma night mare, wengine huita majinamizi; na yanasababishwa na nini (sababu za hii hali)?