Huwa mnafanyaje mnapobanwa sauti na kushindwa kujiinua usiku (night mare)?

Huwa mnafanyaje mnapobanwa sauti na kushindwa kujiinua usiku (night mare)?

Kuna MTU atakuja na sayansi nyingi hapa, lakini nakwambia Mkuu.... huko ndio kukabwa. Jifunze kufanya maombi... halafu muda huu ndio wenyewe em piga goti kemea hizo nguvu za Giza za kichawi na mapepo... in the name of Jesus!!!
Aminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.
 
Kisayansi wanasema ukilala chali kwa muda unaweza kuibana mishipa ya medula hali hiyo ikakukuta.

Ila kibongo bongo tunaita jinamizi hali hiyo ikikukuta ukitamka jina yesu inapotea muda huo huo , sauti itatoka na utajikunjua
Kweli bhana. Nimetamka ila spika haitoi sauti na mikono imekwama. Sema nikatamka kimoyo moyo mara pap najikuta mwepesi.
 
Na asishibe sana chakula cha jioni na Afanye mazoezi mwili uchoke
Chakula cha mama ntilie unashibaje aisee. Kwanza nlipoza njaa tu sikushiba. Mimi kushiba lazima ugali mkubwa, samaki sato na mchicha poli wa kutosha.
 
Sleep paralysis...!

Ukiwa umechoka au umeshiba sana na hasa ukilala kwa kujikunja na kubana baadhi ya misuli huwa inatokea (Apnoea)
Kumbeeee
SO sijawekwa roba mbao kumbe kama wengine wanavyosema
 
Hao ni wachawi mpendwa! Mwamini Yesu na uokoke kabisa! Vinginevyo wewe utakuwa mtumwa wa wachawi

2 Wakorintho 10:3
Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;

2 Wakorintho 10:4
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome😉

2 Wakorintho 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;
SAwa ssma jana kwakel nmesahau hata kupiga ishara ya msalaba nkajilaz kama kuku manyoya
 
Aminii mimi kuna Nyumba nilikuwa nimepangaa nikawa naamini sayansi sijui umelala vibayaa shenzii nikawa Nikiombaa kabla ya kulalaa hata hainitokeiii ilaa nikiacha kuomba aisee Haipiti siku 3 wayaaaa yani nakabwaaaa balaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NI UCHAWIII MKUU NA HUKO NDO KUKABWAA.
hapa sasa lazima kuna tatizo. Aya ngoja nijipange kama tutalogana tulogane tu ila hii ngumu aisee
 
Kuna MTU atakuja na sayansi nyingi hapa, lakini nakwambia Mkuu.... huko ndio kukabwa. Jifunze kufanya maombi... halafu muda huu ndio wenyewe em piga goti kemea hizo nguvu za Giza za kichawi na mapepo... in the name of Jesus!!!
Hali iyo huwa inanitokea sana na swala la maombi nimefanya sana haikusaidia lolote.
Ila nikinywa pombe na nikaingia kulala icho ki2 huwa hakinitokea hata mala 1.
 
Ndo kitu kingine kinachonifanya niamini Mungu yupo na Yesu alituokoa msalabani aisee wapuuzi wanakabaaa balaaa...!
Sema nashukuru niliweka kisimu changu pembeni hawajakiona na hela chini sakafuni hawajachukua. Leo ningetoa chozi walah
 
Hali iyo huwa inanitokea sana na swala la maombi nimefanya sana haikusaidia lolote.
Ila nikinywa pombe na nikaingia kulala icho ki2 huwa hakinitokea hata mala 1.
kisanzala
Boss kweli hii??m
Maana nmeacha kupiga ulabu mwaka wa 4 huu sasa japo nautamanigi hadi naumezea mate. Vp kama ndio hawa basi nirudi kwenye ubora wangu. Tena niwakomeshe nipige vitu vizito mpaka wanione jini
 
Sawa. Sema ubavu ubavu siwezagi kabisa. Itbidi nikomae nisije kujimaliza
Paka vicks au kitunguu saumu katika paji la uso.
Kati Kati ya paji la uso kuna jicho la tatu,so hao wapumbavu ukilala chali wakiwa wanafanya doria zao mida yao udhani unawachungulia.
Kama we ni Mkristo ukibanwa na hali hio wapelekee fire kimoyomoyo sekunde nyingi hata tunguli zao wanaweza zisahau.Adui wao Mkubwa ni Damu ya YESU Kristo.
Pia kitunguu saumu hata vicks ni first aid ya hali zote chafu za kiroho.Harufu yake haipatani na nguvu ya dawa za hao wapumbavu.
Iwe unahisi kukata tamaa, kuchoka mwili, kushuka moyo, hofu, huzuni, wasiwasi, ndoto mbaya,kuhisi hali tofauti ndani,na magonjwa yote ya kiroho we tafuna punje ya kitunguu saumu au au paka mafuta ya kitunguu saumu tu sekunde nyingi unakuwa sawa.
Kitunguu saumu ni dawa ya negative energy zote.
 
Kweli bhana. Nimetamka ila spika haitoi sauti na mikono imekwama. Sema nikatamka kimoyo moyo mara pap najikuta mwepesi.
Kimoyomoyo KWA ulimwengu wa giza ni sauti kubwa sana usipime inafika mbali thus lazima wakuachie
 
Sema nashukuru niliweka kisimu changu pembeni hawajakiona na hela chini sakafuni hawajachukua. Leo ningetoa chozi walah
Hata uweke bilioni sio shida yao bali roho yao.
Wezi na wachawi ni wazee wa usiku mawakala wa shetani wamegawana Kazi mchawi upora roho YAKO, mwizi ufata pesa yako
 
Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.

Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).

Siko usingizini kiuhalisia najaribu kutoa sauti haitoki, nyanyua mkono wapi haunyanyuki. Yaani mwili wote uko disabled kasoro moyo na akili ndio vinafanya kazi.

Hivi ninyi huwa mbafanyaje kupambana na haya ma night mare, wengine huita majinamizi; na yanasababishwa na nini (sababu za hii hali)?
Hali kama hii huwa inanitokea pale ninaporukia kitanda bila kusali.

Ukikutana na hali hiyo just muite Yesu akusaidie
 
Back
Top Bottom