Huwa mnafanyaje wenzetu? Kuna namna mfanyabiashara anakubali punguzo mpaka unashtuka

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"

Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.

Wakati unajiandaa kutoa kibunda utamsikia muuzaji :

"Kwakuwa ni wewe lipia tu we familia" 😅
​
Hapo ndio unazidi kujiona fara

Mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
 
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"

Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.

Sometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
😊

Ndio maana ni vizuri kujua gharama ya bidhaa husika kabla ya kwenda inunua.
 
​

Mwonekano upi mzee? Tatizo la Dar au bongo kwa ujumla biashara za kubargain huwa hazina mwenyewe kupigwa nje nje
Ukihitaji bidhaa fanya kwanza research inauzwa bei gani ndipo ukanunue napo linganisha bei pia kati ya muuzaji wa kwanza na wapili mpaka wa tatu
 
Mara nyingi huwa wanataka bei kubwa sana kwa kukusikilizia. Siyo bei halisi.
Ukijaa wanakupiga bila huruma, ukistuka ukaomba punguzo wanakubali.
Machinga wana taja bei mara mbili ya bei ya kuuzia. Akikuambia 1000 wewe muambie nina 500.
Mnavutana unaongeza 100 tu wanapokea.
Shika hii kanuni.
 
😊

Ndio maana ni vizuri kujua gharama ya bidhaa husika kabla ya kwenda inunua.
Umesema vyema

Na ili ujue bei lazima ukaulizie bei

Mfano umezama madukani kuulizia bei ndio unakutana na muhuni kama huyo katoka 100k mpaka 70k

Hapo uamuzi wa busara ni kuondoka kwenda kuuliza pengine mpka itajulikana tu ukweli wa bei halisi
 
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"

Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.

Wakati unajianda kutoa kibunda utamsikia muuzaji:

"Kwakuwa ni wewe lipia tu we familia" 😅
​
Sometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
Mtu kaanza na elfu 30, anashuka mpaka elfu 15, anakwambia Lipia tu kwa kuwa ni wewe, angekuwa mwingine nisingempe, unajiuliza huyu jamaa simjui na hanjfahamu ananioneaje huruma?

Sometimes huwa nashuka tena akikataa nasepa😆😆😆
 
Ukihitaji bidhaa fanya kwanza research inauzwa bei gani ndipo ukanunue napo linganisha bei pia kati ya muuzaji wa kwanza na wapili mpaka wa tatu
Hapo ndio upo kwenye research mkuu umezama madukani, au unataka ufanye research za bei za biashara za kibongo ukiwa nyumbani kwenye mitandao?
 
Umesema vyema

Na ili ujue bei lazima ukaulizie bei

Mfano umezama madukani kuulizia bei ndio unakutana na muhuni kama huyo katoka 100k mpaka 70k

Hapo uamuzi wa busara ni kuondoka kwenda kuuliza pengine mpka itajulikana tu ukweli wa bei halisi
Hahaha
 
Mtu kaanza na elfu 30, anashuka mpaka elfu 15, anakwambia Lipia tu kwa kuwa ni wewe, angekuwa mwingine nisingempe, unajiuliza huyu jamaa simjui na hanjfahamu ananioneaje huruma?

Sometimes huwa nashuka tena akikataa nasepa😆😆😆
Sahihi huo ndio uamuzi bora kabisa

******* sana wale jamaa halafu utamsikia anakupamba:

"Bro wewe nimekuona unajua vitu OG, mimi nataka tufanye biashara leo na kesho urudi tena hapa."​

Kama hapo unaambiwa hivyo mteja kwisha habari yako
 
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"

Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.

Wakati unajianda kutoa kibunda utamsikia muuzaji:

"Kwakuwa ni wewe lipia tu we familia" 😅
​
Sometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
Sometimes tunajua wateja wengine ni wazugaji tu. Unamtajia bei anaomba punguzo ukimpa punguzo atadai bado bei juu kumbe si mnunuzi. Sasa unamwacha ajikaange ataje bei yake unamwambia lipia. Trust me mara nyingi hata hio aliosema hana. Yaani si mnunuzi.
 
Ni kweli lakini nitanunua tu sababu nitakuwa nimeshayakanyaga. Nisiponunua ataniona tu mzinguaji 😂.
Oyaa mi bora anione mzinguaji maumivu ya kupigwa kwenye bei yanachukua muda sana ku-heal hasa kil unapoiona ile bidhaa waliyokupasua bei

Si umeona hiyo muuza vipuri Jaga Kaya Ogihonge message # 8 anavyotamba kuwapiga wateja zake bei za kwenda
 
Back
Top Bottom