Huwa mnafanyaje wenzetu? Kuna namna mfanyabiashara anakubali punguzo mpaka unashtuka

Oyaa mi bora anione mzinguaji maumivu ya kupigwa kwenye bei yanachukua muda sana ku-heal hasa kil unapoiona ile bidhaa waliyokupasua bei

Si umeona hiyo muuza vipuri Jaga Kaya Ogihonge message # 8 anavyotamba kuwapiga wateja zake bei za kwenda
Ukiondoka kwanza unarudi palepale ama unabadilisha site. Najua ukirudi kule lazima utafurushwa na muuzaji 😂.
 
Mimi huwa nauza vipuli vya magari,huwa nawapiga kwelikweli wale wasukuma.
Tutake radhi wasukuma...!
Biashara ya spare parts haiwi specific price. Mteja atauziwa kulingana na alivyokuja.

Kuna mwaka flani nilishuhudia biashara ya nyororo la kuinulia mizigo pale Buguruni.
Jamaa aliwauzia wakongo lile crane loader kwa sh milioni4 wakati huo yeye alilipata kimagumashi kwa 300k kakaa nalo 3yrs dukani ndo wakongo wakaelekezwa kwake kuwa analo wakati huo wamehaha maduka kibao nchi tofauti wanauziwa fake hayadumu.

Zipo baadhi ya bidhaa unaweza kupewa discount kubwa kutokana na pengine expire date imekaribia au mwenye duka muda huo akawa na deficit amount ya kuongezea mzigo. So anaamua kuuza at a throw away amount ili kufidia palipo pelea.
 
hiki ni kionjo tu wala sio kweli,sijishughulishi na biashara hiyo ndugu yangu! Lakini hata hivyo mimi ni msukuma pia.
 
Back
Top Bottom