Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mwonekano upi mzee? Tatizo la Dar au bongo kwa ujumla biashara za kubargain huwa hazina mwenyewe kupigwa nje njeUnatajiwa bei kulingana na muonekano wako mkuu
πKuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"
Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.
Sometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
Hapana mfanyabiashara mbongo kukubali harakaharaka lazima ujiridhishe na kwa wengine janja janja nyingi sanaNanunua.
Ukihitaji bidhaa fanya kwanza research inauzwa bei gani ndipo ukanunue napo linganisha bei pia kati ya muuzaji wa kwanza na wapili mpaka wa tatu
Mwonekano upi mzee? Tatizo la Dar au bongo kwa ujumla biashara za kubargain huwa hazina mwenyewe kupigwa nje nje
Umesema vyemaπ
Ndio maana ni vizuri kujua gharama ya bidhaa husika kabla ya kwenda inunua.
Mtu kaanza na elfu 30, anashuka mpaka elfu 15, anakwambia Lipia tu kwa kuwa ni wewe, angekuwa mwingine nisingempe, unajiuliza huyu jamaa simjui na hanjfahamu ananioneaje huruma?Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"
Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.
Wakati unajianda kutoa kibunda utamsikia muuzaji:
"Kwakuwa ni wewe lipia tu we familia" πSometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
Hapo ndio upo kwenye research mkuu umezama madukani, au unataka ufanye research za bei za biashara za kibongo ukiwa nyumbani kwenye mitandao?Ukihitaji bidhaa fanya kwanza research inauzwa bei gani ndipo ukanunue napo linganisha bei pia kati ya muuzaji wa kwanza na wapili mpaka wa tatu
HahahaUmesema vyema
Na ili ujue bei lazima ukaulizie bei
Mfano umezama madukani kuulizia bei ndio unakutana na muhuni kama huyo katoka 100k mpaka 70k
Hapo uamuzi wa busara ni kuondoka kwenda kuuliza pengine mpka itajulikana tu ukweli wa bei halisi
Sahihi huo ndio uamuzi bora kabisaMtu kaanza na elfu 30, anashuka mpaka elfu 15, anakwambia Lipia tu kwa kuwa ni wewe, angekuwa mwingine nisingempe, unajiuliza huyu jamaa simjui na hanjfahamu ananioneaje huruma?
Sometimes huwa nashuka tena akikataa nasepaπππ
Sometimes tunajua wateja wengine ni wazugaji tu. Unamtajia bei anaomba punguzo ukimpa punguzo atadai bado bei juu kumbe si mnunuzi. Sasa unamwacha ajikaange ataje bei yake unamwambia lipia. Trust me mara nyingi hata hio aliosema hana. Yaani si mnunuzi.Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa flani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia"
Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini.
Wakati unajianda kutoa kibunda utamsikia muuzaji:
"Kwakuwa ni wewe lipia tu we familia" πSometimes mimi huwa nachimba kwanza nikajitafakari nijaribu na kwingine nione.
Hakikisha unajua price range kabla ya kwenda kununua. Hapa umuhimu wa window shopping unakuja.
Mwonekano upi mzee? Tatizo la Dar au bongo kwa ujumla biashara za kubargain huwa hazina mwenyewe kupigwa nje nje
Ni kweli lakini nitanunua tu sababu nitakuwa nimeshayakanyaga. Nisiponunua ataniona tu mzinguaji π.Hapana mfanyabiashara mbongo kukubali harakaharaka lazima ujiridhishe na kwa wengine janja janja nyingi sana
Au sio.Mimi huwa nauza vipuli vya magari,huwa nawapiga kwelikweli wale wasukuma.
Oyaa mi bora anione mzinguaji maumivu ya kupigwa kwenye bei yanachukua muda sana ku-heal hasa kil unapoiona ile bidhaa waliyokupasua beiNi kweli lakini nitanunua tu sababu nitakuwa nimeshayakanyaga. Nisiponunua ataniona tu mzinguaji π.