secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ukiondoka kwanza unarudi palepale ama unabadilisha site. Najua ukirudi kule lazima utafurushwa na muuzaji 😂.Oyaa mi bora anione mzinguaji maumivu ya kupigwa kwenye bei yanachukua muda sana ku-heal hasa kil unapoiona ile bidhaa waliyokupasua bei
Si umeona hiyo muuza vipuri Jaga Kaya Ogihonge message # 8 anavyotamba kuwapiga wateja zake bei za kwenda
Tutake radhi wasukuma...!Mimi huwa nauza vipuli vya magari,huwa nawapiga kwelikweli wale wasukuma.
hiki ni kionjo tu wala sio kweli,sijishughulishi na biashara hiyo ndugu yangu! Lakini hata hivyo mimi ni msukuma pia.Tutake radhi wasukuma...!
Biashara ya spare parts haiwi specific price. Mteja atauziwa kulingana na alivyokuja.
Kuna mwaka flani nilishuhudia biashara ya nyororo la kuinulia mizigo pale Buguruni.
Jamaa aliwauzia wakongo lile crane loader kwa sh milioni4 wakati huo yeye alilipata kimagumashi kwa 300k kakaa nalo 3yrs dukani ndo wakongo wakaelekezwa kwake kuwa analo wakati huo wamehaha maduka kibao nchi tofauti wanauziwa fake hayadumu.
Zipo baadhi ya bidhaa unaweza kupewa discount kubwa kutokana na pengine expire date imekaribia au mwenye duka muda huo akawa na deficit amount ya kuongezea mzigo. So anaamua kuuza at a throw away amount ili kufidia palipo pelea.
Msaada kwenye tuta, hivi asilimia kubwa ya wateja wanao fika duka kukununa vifaa vya magari uwani ni mafundi au wenye magari?Mimi huwa nauza vipuli vya magari,huwa nawapiga kwelikweli wale wasukuma.
wenye magari kupitia mafundi.Msaada kwenye tuta, hivi asilimia kubwa ya wateja wanao fika duka kukununa vifaa vya magari uwani ni mafundi au wenye magari?
Hasa kwa sisi wa hali ya chini😊
Ndio maana ni vizuri kujua gharama ya bidhaa husika kabla ya kwenda inunua.