Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo ni kwamba baba tumemshirikisha na hafanyi lolote anasema tumuache tu kama alivyosema mwenyewe..na bad luck nyumbani hatuna mwanaume mwingne zaidi ya yeye na baba tuSorry to say this, lakini kama wewe ni binti, mtu wa kumsaidia mdogo wako ni mwanaume kama yeye.
Sasa kama kuna male figure around, tueleze ili tuanze kutoa ushauri on what to do.
Mjumbe hauwawi.
Asante,, tutajaribu kuufanyia kazi ushauri wako...ila kwenye suala la marafiki tumejaribu kuongea na marafiki zake wote nao wanasema wanashangaa mabadiliko yake yanatokana na nini1. Chunguzeni anapotelea wapi.
2. Rafiki zake ni kina Nani? Wanajishughulisha na nini?
Asijeanza Michezo hatari, kama
1. Wizi, udokozi na ukibaka
2. Ushoga. Hii ndio hatari zaidi.
3. Madawa ya kulevya.
Mtoto wa miaka 17 ni mtoto. Anaweza kupigwa bakora akakaa Sawa. Kama wazazi hawawezi Kwa uzee au wanaroho nyepesi apeleke polisi wapo kwaajili ya Kazi ndogondogo kama hizo.
Ila mnaweza anzia Kwa wanasaikolojia ingawaje Huko polisi pia wapo Watu wa Aina hiyo
Asante,, tutajaribu kuufanyia kazi ushauri wako...ila kwenye suala la marafiki tumejaribu kuongea na marafiki zake wote nao wanasema wanashangaa mabadiliko yake yanatokana na nini
Hiyo ni foolish age ,umri huo ni waujinga mwingi unakujaga na mambo mengi ya kijinga jinga ,ndio maana wazungu waliupa hilo jina. Jinsi yakuishi na huyo ndugu watakuja wataalamu wakupe somo.Habari wanajamvi...
Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi.
msaidia huyu mdogo wangu maana napata shida sana kumuona mama akiwa na wasiwasi mda wote [emoji1374]
Kwakweli itabidi tufanye uchunguzi zaidi kwa hao marafiki zakeHao marafiki wanaishi kwao au kuna mmoja ana-ghetto?
Vijana wadogo siku hizi wamejiingiza katika michezo ya ushoga hasa mmoja akiwa na ghetto. Chunguzeni vizuri.
Mpeni shughuli ya kufanya,