DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Sijaelewa hapo kwamba kuna jambo alitegemea tumpe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hapo kwamba kuna jambo alitegemea tumpe
Aisee,, mbona hili tatizo sasa🥹Adolescent stage
Dogo kesha pewa utelezi uko ana teleza hatari
hizo dawa si ajabu ni matokeo ya kupiga kavu pu**y mtelezo si ajab dogo alikua ana jitibu Std's
yawezekana ame onja kijiti kina mpeleka puta hivi sasa
Mfatilieni kwa ukaribu hata kupitia rafiki zake bila yeye kujua mtajua tu
Mzee mwacheni anaelewa kijana wake kesha anza kulamba lamba nyuchi uko
Miaka 17 bado mdogo???????????!!!!!!!!! Kijijini umri huo mtu anaoa na anatia mimba safi kabisa.Mbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi [emoji848], mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
Anha,,, simu kali kaanza kutumia tangu akiwa form 1 na haijawahi kumpa shida hata shuleni maana form four kafaulu vizuri sana, na suala la mavazi sio tatizo kwake wala kwetu wote pia.., na sio kama tulikua hatumpi uhuru wa kutoka hapana, ni vile tu upole ni tabia yake tangu alivyokua mdogo...sijajua ni nini kinamsumbua saizkuna maisha wenzake wanaishi (apo nguo kali, simu kali, mademu wakali uhuru wa club nk) sasa alijua akiwa na adabu mtampa baadhi lakn inaonyesha mmemchinjia baharini.
Aisee 🤔🤔,, mbona tutapata tabu sana🤦♀️🤦♀️Miaka 17 bado mdogo???????????!!!!!!!!! Kijijini umri huo mtu anaoa na anatia mimba safi kabisa.
Wengine wanaanza kut********mba bado wadogo.
Kuna rafiki yangu anahadithia alianza kutia akiwa Drs la nne primary, tena wakati huo ilikuwa na mwanamke mtu mzima ana watoto na ameolewa. Mumewe kila akisafiri alikuwa anaenda kumuomba dogo kwao akalale kwa mkewe kwasababu alikuwa anaogopa watoto bado wadogo.
Ni mkasa una maelezo marefu lakini kilichokuja kutokea ni yule mama kugongwa na bwana mdogo kiasi Cha kunogewa akawa anatamani mume wake asafiri kila wakati ili apate nafasi ya kufanywa na bwana mdogo.
Dunia Ina mambo mengi sana, usijilimit kwenye kufikiri na kuchanganua mambo......lkitokea ukajua ndivyo ilivyo unakomaa nalo, ikiwa sivyo unasema Asante Mungu
Itabidi nitafute mtu aongee nae maana naona lishakua tatizo sasaInawezekana Kuna tukio Moja kubwa baya ameliona miongoni mwenu ,haswaa hao wazazi wake linamfanya kua hvyooo Yaani amejikuta amepoteza trust na furaha hapo nyumbani...
Tafuta Mtu aongeee nae!
Naweza kukisia. Inaonekana alipokuwa anakaa nyumbani sana mlimwandama kwa masimango na kila aian ya kero kuwa ni kwa nini hatoki kama wanaume wengine. Sasa akaona atoke ili awaonyeshe kuwa na yeye amekua. All in all wewe na mama yako inaonekana ni wale wanawake wanaofuatilia mambo ya watoto wao wa kiume na kutaka kuwa-control. Hii inaonyesha hata ulivyosema mnaingia chumbani kwake. Mimi ni mwanaume na nilipokuwa kwenye huo umri nilipata kero kama hizi. Mama yangu na dada zangu wakawa kama wanataka kuingilia maisha yangu na kuniona kama bado ni mtoto wa chekechea. Tulikuwa tunagombana sana kwani mra nyingi nilikuwa nataka kuwaonyesha kuwa sitaki kuendeshwa kama gari bovu. Ushauri wangu ni kuwa achaneni na kutaka kum-control maisha yake. Wewe anakufuatilia? Komeni kabisa wewe na mama yako. Miaka 17 bado mnataka kumfanya kama mtoto wa chekechea?tatizo ni kwamba baba tumemshirikisha na hafanyi lolote anasema tumuache tu kama alivyosema mwenyewe..na bad luck nyumbani hatuna mwanaume mwingne zaidi ya yeye na baba tu
Wewe na mama yako ndiyo mna matatizo. Trust me! Na mkiendelea kufautilia maisha yake ndivyo atakavyozidi kuwaonyesha jeuri.Itabidi nitafute mtu aongee nae maana naona lishakua tatizo sasa
Kwani kuna shida kumfatilia mtoto,, em just imagine anaumwa hadi anapona hasemi, vipi kama angezidiwa na homa na Sisi hatuna taarifa...miaka 17 ni mtu mzima kweli 🤔Naweza kukisia. Inaonekana alipokuwa anakaa nyumbani sana mlimwandama kwa masimango na kila aian ya kero kuwa ni kwa nini hatoki kama wanaume wengine. Sasa akaona atoke ili awaonyeshe kuwa na yeye amekua. All in all wewe na mama yako inaonekana ni wale wanawake wanaofuatilia mambo ya watoto wao wa kiume na kutaka kuwa-control. Hii inaonyesha hata ulivyosema mnaingia chumbani kwake. Mimi ni mwanaume na nilipokuwa kwenye huo umri nilipata kero kama hizi. Mama yangu na dada zangu wakawa kama wanataka kuingilia maisha yangu na kuniona kama bado ni mtoto wa chekechea. Tulikuwa tunagombana sana kwani mra nyingi nilikuwa nataka kuwaonyesha kuwa sitaki kuendeshwa kama gari bovu. Ushauri wangu ni kuwa achaneni na kutaka kum-control maisha yake. Wewe anakufuatilia? Komeni kabisa wewe na mama yako. Miaka 17 bado mnataka kumfanya kama mtoto wa chekechea?
Sawa mkuu nimekuelewa, Asante kwa ushauriMpeni uhuru anaotaka ila mfuatilieni mjie mienendo yake. Kama havuti shada basi ana mahusiano ambayo hataki mtu ajue.
Chungeni tu hayo mahusiano yasije kuwa ya jinsia moja. Kama ana mwanamke mnaweza pia kuanza kuandaa budget ya pampas.