Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Asante,, tutajitahidi kumfatilia tujue anashinda wapi, anakula wapi na kina nani..nadhani hii itasaidia pia kujua chanzo cha tatizoDuh poleni,, fuatilieni mjue nini tatizo hasa km ni foolish age na hatari gani aliyomo huko anakoshinda kuna namna, fatilieni mjue msitulie tu eti atabadilika dunia tuliyomo imeoza yaweza kuwa ana jimama/jibaba, makundi mabaya nk
MKUU MLIKIUAHabari wanajamvi...
Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi.
Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa kushinda ndani mda wote ni kusoma kula na kulala, mara chache sana unaweza kumkuta anaangalia movie hata marafiki zake ni mpaka waje nyumbani kutembelea ndo apige nao story bila hivyo hatoi mguu nyumbani labda aagizwe mahali..
Shida kwamba sikuizi( yani miezi hii hapa miwili) amebadilika sana hadi tunaogopa,, amekua ni mtu wa kuondoka nyumbani bila kuaga na akiondoka asubuhi harudi nyumbani msipompigia simu anaweza asionekane kabisa hadi usiku,, sometimes tukimpigia simu anaweza akapokea halafu akajibu kwa ukali kua tusimfatilie na maisha yake, hataki kula chakula nyumbani, amekua ni mtu wa kufokafoka tu mda wote hadi mama akimuuliza kitu anajibu kwa kufoka tu sio kama alivyokua zamani.
Saizi amefikia hatua kwenda kanisani pamoja na sisi hataki anasema tumuache., alikua anaumwa hakutoa taarifa mpaka anapona na hatuelewi alikua anaumwa nini yani tumefanya tu kustukia kumwona anakunywa dawa, kuna mda alivyoondoka mama akaingia chumbani kwake kukagua akakuta dawa nyingi sana, hata hatuelewi zinatibu ugonjwa gani., baada ya mama kumuuliza alikua mkali sana na ametupigia marufuku kuingia chumbani kwake hata kama ni kufanya usafi.
Ajabu ni kwamba tukimuelezea baba tabia za huyu dogo sikuizi wala hata hatilii maanani anasema tu muacheni kama alivyowaambia mumuache...hasa tatizo ni lipo kwa mama amekua na wasiwasi sana na mabadiliko ya huyu mdogo wangu yani pressure inampanda mda wote, akijaribu hata kukaa nae chini kuongea nae dogo hataki kumskiliza yeyote zaidi ni anakua mkali ukimsogelea jirani anaweza akupige makofi...
Naombeni msaada wenu wa mawazo ili niweze kumsaidia huyu mdogo wangu maana napata shida sana kumuona mama akiwa na wasiwasi mda wote 🙏🏼
kwa kuanzia chukueni hayo maganda ya madawa mukaulize pharmacy au ata mnaweza kugoogle mkapata jawabu anaumwa na nnHabari wanajamvi...

Ndio hakikisha mnajua hayo muhimu ndo mtajua mnaamua niniSawa Asante,, tutajitahidi kumfatilia tujue anashinda wapi, anakula wapi na kina nani..nadhani hii itasaidia pia kujua chanzo cha tatizo
Kwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼Pole sana Mkuu ila fuatilia haya:-
1. Ulaji wake wa chakula upoje?
2. Usafi wa mwili anajijali?
Hivyo vitakusaidieni.
Ila mwambieni dogo wake za watu akikutwa nao wahuni watampaka vaseline kimasihara na mishangazi inanyonya damu.
Ukimkuta na kashata zile za wauza kahawa jua mdogo wenu anakula bangi.
Mwisho wa yote mpo mkoa gani, usaidiwe kuzitambua tabia hatarishi za eneo lenu.
Wew unadhani wazaz wako wangekulea ki junia junia ungekuwa who you are today......mtoto kumchapa wala si ukatuli nduguumeongea kwa ukali sana mkuu😌
Shida baba nae anachukulia tu kawaida,, haoni kama kuna shida eti 🤔Hizo dawa gani zilikua? Ungetaja tujaribu brainstorm kuwa alikua anajitibu nini...
Hiyo ni balehe tu, ukubwa unamjia hovyo [emoji1]
Hapo inabidi watoke out, waongee man to man na mdingi,...ikishindikana mdingi amtie makofi,...
Tatizo siku hizi na akinababa wanatafuta sifa ya kupendwa na watoto kama akina mama...hata kuweka discipline inakua kazi..
Police iwe last resort, kama hafanyi baya lolote mdingi anatosha kurestore settings [emoji1]
Kabisa mkuu......kama mnamhurumia au mnaogopa tafuteni polisi pay him amshikishe adabu huko anakochelewaga......amin amin nakuambia msipomshughulikia now hamtaweza tena later....nina uzoefu na hiloSawa,, kwahiyo unashauri tumchape ili akae sawa😌
Si ana miaka 17 Mkuu aminini tu kuwa ameanza kufanya mapenzi pia.Kwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼