Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ndio ukweli wenyewe kuna kitu wamemkwaza vya ndani zaidi na baadhi ya watoto hususani wa kiume hawawezi kuongea hua wanayazima ndani kwa ndani Ila sio kwamba ataishi nayo milele ni mapito tu, kuna manyanyaso mnamfanyia huyo kijana Ila hawaambii kua hapa mnaninyanyasa nyinyi, sasa hio hali kupata nafuu itachukua muda tena pale atapowahama kabisa hapo nyumbani kwenu maana kashaweka kinyongo na nyinyi na midomo yenu ya kuropoka ropoka ovyo Mambo ya wanaume na watoto wa kiume hamjui lipi la kuongea na lipi la kumezeaNaweza kukisia. Inaonekana alipokuwa anakaa nyumbani sana mlimwandama kwa masimango na kila aian ya kero kuwa ni kwa nini hatoki kama wanaume wengine. Sasa akaona atoke ili awaonyeshe kuwa na yeye amekua. All in all wewe na mama yako inaonekana ni wale wanawake wanaofuatilia mambo ya watoto wao wa kiume na kutaka kuwa-control. Hii inaonyesha hata ulivyosema mnaingia chumbani kwake. Mimi ni mwanaume na nilipokuwa kwenye huo umri nilipata kero kama hizi. Mama yangu na dada zangu wakawa kama wanataka kuingilia maisha yangu na kuniona kama bado ni mtoto wa chekechea. Tulikuwa tunagombana sana kwani mra nyingi nilikuwa nataka kuwaonyesha kuwa sitaki kuendeshwa kama gari bovu. Ushauri wangu ni kuwa achaneni na kutaka kum-control maisha yake. Wewe anakufuatilia? Komeni kabisa wewe na mama yako. Miaka 17 bado mnataka kumfanya kama mtoto wa chekechea?
Cc; Leejay491. Chunguzeni anapotelea wapi.
2. Rafiki zake ni kina Nani? Wanajishughulisha na nini?
Aisee 🤔🤔ukiona mtoto ameanza kukujibu, jua kuna tabia mbaya ameanza kuifanya. na hapo sio kwamba tu anawezakuwa ana makundi mabaya, anaweza kuwa anavuta hadi bange, ndio maana haogopi. kwenye mabange ndiko kwenye mabasha na mashoga. haow avuta bange na unga wengi wakilewa huwa wanaingiliana wao kwa wao huko, kuweni makini. inakuwaje kijana wa umri huo anapotea asubuhi hadi jioni hamjui ameenda wapi? na ukimuuliza anajibu hivyo? au baba anajua wapi huwa anakuwa ameenda manake familia zingine huwa zinaoperate kiroho, si ukute kachawi bila ninyi kujua hako. watoto wengi tu wanaingiziwa uchawi na ushirikina kwa kupitia wenzao mashuleni nahuko wanakocheza.
Kwamba mtoto wa kiume hapaswi kuchunguzwa au kufatiliwa hata na mzazi wake jamani 🤔Na huu ndio ukweli wenyewe kuna kitu wamemkwaza vya ndani zaidi na baadhi ya watoto hususani wa kiume hawawezi kuongea hua wanayazima ndani kwa ndani Ila sio kwamba ataishi nayo milele ni mapito tu, kuna manyanyaso mnamfanyia huyo kijana Ila hawaambii kua hapa mnaninyanyasa nyinyi, sasa hio hali kupata nafuu itachukua muda tena pale atapowahama kabisa hapo nyumbani kwenu maana kashaweka kinyongo na nyinyi na midomo yenu ya kuropoka ropoka ovyo Mambo ya wanaume na watoto wa kiume hamjui lipi la kuongea na lipi la kumezea
Sawa nitajaribu kufanya hivyo...shida ni kwamba hataki kuongea wala kumskiliza yeyote yule 🤔
Habari wanajamvi...
Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi.
Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa kushinda ndani mda wote ni kusoma kula na kulala, mara chache sana unaweza kumkuta anaangalia movie hata marafiki zake ni mpaka waje nyumbani kutembelea ndo apige nao story bila hivyo hatoi mguu nyumbani labda aagizwe mahali..
Shida kwamba sikuizi( yani miezi hii hapa miwili) amebadilika sana hadi tunaogopa,, amekua ni mtu wa kuondoka nyumbani bila kuaga na akiondoka asubuhi harudi nyumbani msipompigia simu anaweza asionekane kabisa hadi usiku,, sometimes tukimpigia simu anaweza akapokea halafu akajibu kwa ukali kua tusimfatilie na maisha yake, hataki kula chakula nyumbani, amekua ni mtu wa kufokafoka tu mda wote hadi mama akimuuliza kitu anajibu kwa kufoka tu sio kama alivyokua zamani.
Saizi amefikia hatua kwenda kanisani pamoja na sisi hataki anasema tumuache., alikua anaumwa hakutoa taarifa mpaka anapona na hatuelewi alikua anaumwa nini yani tumefanya tu kustukia kumwona anakunywa dawa, kuna mda alivyoondoka mama akaingia chumbani kwake kukagua akakuta dawa nyingi sana, hata hatuelewi zinatibu ugonjwa gani., baada ya mama kumuuliza alikua mkali sana na ametupigia marufuku kuingia chumbani kwake hata kama ni kufanya usafi.
Ajabu ni kwamba tukimuelezea baba tabia za huyu dogo sikuizi wala hata hatilii maanani anasema tu muacheni kama alivyowaambia mumuache...hasa tatizo ni lipo kwa mama amekua na wasiwasi sana na mabadiliko ya huyu mdogo wangu yani pressure inampanda mda wote, akijaribu hata kukaa nae chini kuongea nae dogo hataki kumskiliza yeyote zaidi ni anakua mkali ukimsogelea jirani anaweza akupige makofi...
Naombeni msaada wenu wa mawazo ili niweze kumsaidia huyu mdogo wangu maana napata shida sana kumuona mama akiwa na wasiwasi mda wote 🙏🏼
Sawa naanza kufanya hivyo mkuu...nitaleta mrejesho 😊Ongea nae vitu anavyopenda
Watu wakianza kumsema wewe nyamaza na ufanye hivyo kwa siku kadhaa mwisho Anza kuongea nae kwa kumpa nafasi ya yeye kuongoza mazungumzo
Nafanya hii huduma najua wazazi na walezi wanavyoteseka kwenye malezi na mbaya zaidi hawajui hata hao watoto wanateseka pia kwa kuwekewa vizuizi😅😅
Unastuka tu kuambiwa anafanya itakuaje mkipata taarifa kuwa anafanywa.Mbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi [emoji848], mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
Sawa naanza kufanya hivyo mkuu...nitaleta mrejesho 😊
Aisee 😔😔,, hili suala inabidi tulitilie mkazo kuanzia sasa lisije kutuletea matatizo makubwa zaidi😌Mnaitaji tafuta namna afunguke, kuna shida anayo, na nyie ndo anawalaumu either kwahaki au siyo haki.
Jambo lingine, ameanza tumia vilevi, hivyo vinamfanya ajisikie he can manage anything.
Tafuteni vijana anaokaa nao kwa upendo kabisa na siri mpate mtazamo wao.
Umri wa miaka 17 ni mbaya sana, akifyetuka hapo, ndo basi tena, kumrejesha ni ngumu sana.
Kuna Bwana mdogo alikuwa hivyo, kuja kujua Baba yake mdogo alikuwa ana mu abuse sexual, hasemi, ana hasira tu na kutishwa akiwa mdogo.
Alikuja kusema baada ya huyo jamaa kufa, hawa watoto unaweza kuta wanaishi na maumivu makubwa.
Sometimes inabidi iwe hivyo msipofanya hivyo atakua hakui huyo inabidi akue elewa ninachokwambia hio ni saikolojia ya mwili na akili sasa hivi 17 years old pubic hair zimemuota na akiangalia maumbile yake ya uume anaona yamekua makubwa na usiku anapata wet dreams za ajabu ajabu na akiamka asubuhi anakua amedindisha sana uume wake anamuwaza na kumuota mwanamke asiekua na maana yoyote kwenye Maisha yake na huyo mwanamke sio wewe, wewe unajua nini kuhusu hilo? Keep your distance mpeni Uhuru wake au unataka akugonge wewe?Kwamba mtoto wa kiume hapaswi kuchunguzwa au kufatiliwa hata na mzazi wake jamani 🤔
Sawa,nmekuelewa mkuu 😌Sometimes inabidi iwe hivyo msipofanya hivyo atakua hakui huyo inabidi akue elewa ninachokwambia hio ni saikolojia ya mwili na akili sasa hivi 17 years old pubic hair zimemuota na akiangalia maumbile yake ya uume anaona yamekua makubwa na usiku anapata wet dreams za ajabu ajabu na akiamka asubuhi anakua amedindisha sana uume wake anamuwaza na kumuota mwanamke asiekua na maana yoyote kwenye Maisha yake na huyo mwanamke sio wewe, wewe unajua nini kuhusu hilo? Keep your distance mpeni Uhuru wake au unataka akugonge wewe?