Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mimi nlianza kufanya mapenzi darasa la tatu shauri yakoMbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi 🤔, mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nlianza kufanya mapenzi darasa la tatu shauri yakoMbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi 🤔, mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
Yeah muachen atabadilika mwenyewe ni hali ya muda mfupi ndiyo maana mzee kasema mwacheni anajua vzr ni hali inayotupata sana watoto wakiume tukifikia hiyo ageKwahiyo tumfanyaje ili akae sawa..au ndo tumuache tu atabadilika mwenyewe kama wengi wanavyosema[emoji848]
Huyo aliingia kwenye mahusiano na ameachwa so inawezekana akili haipo sawa kwa sasa age changamoto sana hio all in all taften mtu mwenye busara sana akae nae aongee naeAnha,,, simu kali kaanza kutumia tangu akiwa form 1 na haijawahi kumpa shida hata shuleni maana form four kafaulu vizuri sana, na suala la mavazi sio tatizo kwake wala kwetu wote pia.., na sio kama tulikua hatumpi uhuru wa kutoka hapana, ni vile tu upole ni tabia yake tangu alivyokua mdogo...sijajua ni nini kinamsumbua saiz
17 mdogo ? We umeanza lini kubanduliwa ulikua na miaka mingapi kipindi unaanza? maana najua kwa sasa unachezea miaka 21, kale kajamaa kalikubandua ukiwa na miaka mingapi?Mbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi 🤔, mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
Aisee 😔😔,, hili suala inabidi tulitilie mkazo kuanzia sasa lisije kutuletea matatizo makubwa zaidi😌
17 mdogo ? We umeanza lini kubanduliwa ulikua na miaka mingapi kipindi unaanza? maana najua kwa sasa unachezea miaka 21, kale kajamaa kalikubandua ukiwa na miaka mingapi?
Mimi niliweka ahadi na mtu nikiwa na miaka 16 kua tutakufa na kuzikana tulipanga mpka majina ya watoto Ila now sijui hata yuko wapiKuoa na miaka 17..Alitaka ampeleke wapi huyo mke [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna Cha mwenye busara huyo atakaa sawa mwenyewe it's a matter of time, au mwambie watafute kademu wamuunganishe nae kawe kanamriwadha awe anakabandua basi funika kombe mwanaharamu apite, sasa hivi anawaza kubandua watoto wa kike tu hapo ndio mafaili yaliyojaa kichwani kwake plus huko anakoenda anacheck pornography ndio kwisha habariHuyo aliingia kwenye mahusiano na ameachwa so inawezekana akili haipo sawa kwa sasa age changamoto sana hio all in all taften mtu mwenye busara sana akae nae aongee nae
Mdogo wako yuko mapenzini na mtu mzimaHabari wanajamvi...
Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi.
Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa kushinda ndani mda wote ni kusoma kula na kulala, mara chache sana unaweza kumkuta anaangalia movie hata marafiki zake ni mpaka waje nyumbani kutembelea ndo apige nao story bila hivyo hatoi mguu nyumbani labda aagizwe mahali..
Shida kwamba sikuizi( yani miezi hii hapa miwili) amebadilika sana hadi tunaogopa,, amekua ni mtu wa kuondoka nyumbani bila kuaga na akiondoka asubuhi harudi nyumbani msipompigia simu anaweza asionekane kabisa hadi usiku,, sometimes tukimpigia simu anaweza akapokea halafu akajibu kwa ukali kua tusimfatilie na maisha yake, hataki kula chakula nyumbani, amekua ni mtu wa kufokafoka tu mda wote hadi mama akimuuliza kitu anajibu kwa kufoka tu sio kama alivyokua zamani.
Saizi amefikia hatua kwenda kanisani pamoja na sisi hataki anasema tumuache., alikua anaumwa hakutoa taarifa mpaka anapona na hatuelewi alikua anaumwa nini yani tumefanya tu kustukia kumwona anakunywa dawa, kuna mda alivyoondoka mama akaingia chumbani kwake kukagua akakuta dawa nyingi sana, hata hatuelewi zinatibu ugonjwa gani., baada ya mama kumuuliza alikua mkali sana na ametupigia marufuku kuingia chumbani kwake hata kama ni kufanya usafi.
Ajabu ni kwamba tukimuelezea baba tabia za huyu dogo sikuizi wala hata hatilii maanani anasema tu muacheni kama alivyowaambia mumuache...hasa tatizo ni lipo kwa mama amekua na wasiwasi sana na mabadiliko ya huyu mdogo wangu yani pressure inampanda mda wote, akijaribu hata kukaa nae chini kuongea nae dogo hataki kumskiliza yeyote zaidi ni anakua mkali ukimsogelea jirani anaweza akupige makofi...
Naombeni msaada wenu wa mawazo ili niweze kumsaidia huyu mdogo wangu maana napata shida sana kumuona mama akiwa na wasiwasi mda wote 🙏🏼
Mimi nmeanza kuwaza pussy nipo chekecheaKwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼
Haya sawaHakuna Cha mwenye busara huyo atakaa sawa mwenyewe it's a matter of time, au mwambie watafute kademu wamuunganishe nae kawe kanamriwadha awe anakabandua basi funika kombe mwanaharamu apite, sasa hivi anawaza kubandua watoto wa kike tu hapo ndio mafaili yaliyojaa kichwani kwake plus huko anakoenda anacheck pornography ndio kwisha habari
Huyo inaonekana kalambishwa asali,atakuwa na jimama,na huo ugonjwa labda gono lilimkumbaHabari wanajamvi...
Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi.
Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa kushinda ndani mda wote ni kusoma kula na kulala, mara chache sana unaweza kumkuta anaangalia movie hata marafiki zake ni mpaka waje nyumbani kutembelea ndo apige nao story bila hivyo hatoi mguu nyumbani labda aagizwe mahali..
Shida kwamba sikuizi( yani miezi hii hapa miwili) amebadilika sana hadi tunaogopa,, amekua ni mtu wa kuondoka nyumbani bila kuaga na akiondoka asubuhi harudi nyumbani msipompigia simu anaweza asionekane kabisa hadi usiku,, sometimes tukimpigia simu anaweza akapokea halafu akajibu kwa ukali kua tusimfatilie na maisha yake, hataki kula chakula nyumbani, amekua ni mtu wa kufokafoka tu mda wote hadi mama akimuuliza kitu anajibu kwa kufoka tu sio kama alivyokua zamani.
Saizi amefikia hatua kwenda kanisani pamoja na sisi hataki anasema tumuache., alikua anaumwa hakutoa taarifa mpaka anapona na hatuelewi alikua anaumwa nini yani tumefanya tu kustukia kumwona anakunywa dawa, kuna mda alivyoondoka mama akaingia chumbani kwake kukagua akakuta dawa nyingi sana, hata hatuelewi zinatibu ugonjwa gani., baada ya mama kumuuliza alikua mkali sana na ametupigia marufuku kuingia chumbani kwake hata kama ni kufanya usafi.
Ajabu ni kwamba tukimuelezea baba tabia za huyu dogo sikuizi wala hata hatilii maanani anasema tu muacheni kama alivyowaambia mumuache...hasa tatizo ni lipo kwa mama amekua na wasiwasi sana na mabadiliko ya huyu mdogo wangu yani pressure inampanda mda wote, akijaribu hata kukaa nae chini kuongea nae dogo hataki kumskiliza yeyote zaidi ni anakua mkali ukimsogelea jirani anaweza akupige makofi...
Naombeni msaada wenu wa mawazo ili niweze kumsaidia huyu mdogo wangu maana napata shida sana kumuona mama akiwa na wasiwasi mda wote 🙏🏼
Mkubwa huyo kashasoma topics za reproduction darasa la 7 kasoma form 2/3 reproduction unasema mdogo ? Hio 17 kuna dogo hapa home ndio anaingia form 5 unasema mdogo una akili wewe? Huyu dogo miaka 19/20 kaanza Chuo unamuita mdogo bado ? Anachowaza kwa asilimia nyingi ni kuwapelekea miti sio mitihaniNi mdogo, ila uko kwenu mnapoishi bila malezi hata wa miaka 12 anaanza mahusiono. Miaka 17 ni mtoto kabisa.
Vipi kwenye kufoka kamfikia mdogo wako kweli? 😂😂😂Jamani 😃😃😃, mbona unanifokea sasa🤨
Sema nini mnawatesa sana hao watoto kwa njaa, jua kali, kiu na hatari juu ya maisha yao.hivi huko dar mnaleaje hao watoto wenu....usukumani mtoto wa 10 anaongoza ng'ombe 1000 na hakuna hata mmoja anaepotea
Miaka 17 mtu mzima kabisa hata kuoa anaweza kabisa
Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
Pepo ndo nn