Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Pole ndugu yngu,,kama mko karibu na kambi yoyote ya jeshi tafadhali nenda pale mama aeleze kwa mkuu wao,,hakika watasaidia sana wale jamaa.Atasema yote kule
 
Barehe imepiga mwereka ,hormone inachemka mpaka inafurumia lazima upate hasira
 
Leejay49 niruhusu ni ku PM, nimejaribu kuandika ushauri kuhusu huyo mdogo wako ,nisingecoment hapa kwenye jukwaa, kwa kuwa nimehusisha maisha yangu, thus why kuna code ziko wazi sana kuhusu mimi .

Nimeshindwa kusend kwa kuwa umefunga PM yako , ila nimeusev kama hutajali nikutumie.
 
Anasoma kidato cha ngapi? kama ni form 2 kushuka chini, muwahini bado hamjachelewa.
 
hii imeendaa
 
Kijana yuko kwenye mabadiliko, najihisi ashakuwa na anaweza kujisimamia sasa. Msaidieni kwa upole ila kama Hamkufanya kinachosemwa hapa (Kumbukumbu la torati 6:7) mapema mnaweza kuwa mmechelewa
 
1. Hasira
2. Madawa
3. Kujitenga
4. Usiri
Pengine ana tatizo kubwa kiafya
 
huu upendo ulianza linji kwa Leejay49 wangu aisee tutapigana humu ndani afungue pm ya nn๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ