Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Badae nae aliingia kwenye genge aiseeee hii series noma..

Hivi huyu jamaa ndo mtoto wake alikatwa katwa vipande na yule nigga ama πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜„
 
Binafsi pia nilipenda movie yake toleo la kwanza, baada ya kusikia kajamaa kameolewa niliacha kabisa kuangalia hiyo movie mazima!!
Labda wenzie waendelee kuchek ila mimi hapana
Inakata kichiz ila Mm lazima nimalize
 
Zamani wakati naangalia series nilivutiwa sana uigizaji wa Jack Bouer wa 24 by then nadhani ilikuwa series bomba sana.

Then The Californication ya pure ngono!! Niliipenda sana
Hiyo ya Californication nitaisaka mzee wa kazi
 
Badae nae aliingia kwenye genge aiseeee hii series noma..

Hivi huyu jamaa ndo mtoto wake alikatwa katwa vipande na yule nigga ama πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜„
Yap, alifanya kazi na scofield under the gvt

Yule nigga alikuja kukiona cha moto, jamaa alimtesa kwa kutumia stimu(umeme) alaf akawa anamchoma on finger tips visindano vidogo it was painful as ***...

Mwisho kabisa akamtupa baharini

Inshort Mahone angekuwa staring angetisha pia
 
Nakumbuka mwishoni alikua anasema muombe msamaha mke wangu...

Aaah jamaa alitisha sana aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…