Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Ila mnajifanyaga mnachukia na hampendi ila cha ajabu nyie ndio mnawafukua, nyie ndio mnaongoza kwa kuwajadili na kuwapa attention🤔🤔🤔
Ndio maana nikasema mtoa mada ni Bi curious, huwezi kuta straight guy analeta uzi kujadili mapunga.
 
Michael scofied syo shoga nimeangalia hyo interview yote
 
Nami niliacha kufuatilia series yake baada tu kuskia wanampanua mkvndv. Mkvndv ni kitu cha ajabu sana. Ukishapitisha mb.00 tu baas hata legacy yako haina maana tena.
 
Nami niliacha kufuatilia series yake baada tu kuskia wanampanua mkvndv. Mkvndv ni kitu cha ajabu sana. Ukishapitisha mb.00 tu baas hata legacy yako haina maana tena.
Ni mambo ya kijinga na hayafai kbs hata mbele za mungu
 
Kumchukia mtu kutokana na sexual preference zake ni matumizi mabaya ya moyo
Hao watu walikuepo na wataendelea kuwepo, ni sawa na kupinga uwepo wa maji duniani
Pia chuki tulizonazo juu ya hawa watu ni ya kupandikizwa kutokana na mapokeo tuliyoyakuta duniani ndio maana tolerance kwa jamii moja na nyingine ni tofauti,
Binadamu mwenye akili timamu hawezi chukizwa na matendo ya mwingine
 
Mkuu Kuna dini gani au maandiko yapi yanaruhusu huo Ufuska.. Au ndo wale wale ntatafta relief, yaani unakuja kabisa Unaandika upuuzi hapa
 
Mkuu Kuna dini gani au maandiko yapi yanaruhusu huo Ufuska.. Au ndo wale wale ntatafta relief, yaani unakuja kabisa Unaandika upuuzi hapa
Mkuu
Hizo dini na maandiko ndiyo mapokeo yenyewe,
Ungezaliwa usingekuta dini wala usingekua na chuki ulizonazo sasa
Chuki uliyonayo ni ya kupandikizwa ndio maana narudia tena ukiwa na akili timamu matendo ya mtu hayawezi kukufanya uchukie movie au kumchukia mtu,
Mbona kabla hujagundua ulikua huna chuki?
 
We jamaa Unachekesha yaani hata mtoto ukimwambia niingilie nyuma na maumbile anatapika kabisa. Mkuu Kuna vitu inabidi hata utumie akili ya kuzaliwa.
Msiwe kama mazombie, we know intrinsically kuwa si kitu cha kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…