Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Mbona unaingiza watoto kwenye hii mada, hujui ni jinai?We jamaa Unachekesha yaani hata mtoto ukimwambia niingilie nyuma na maumbile anatapika kabisa. Mkuu Kuna vitu inabidi hata utumie akili ya kuzaliwa.
Msiwe kama mazombie, we know intrinsically kuwa si kitu cha kawaida.
Mbona Tim Cook ni shoga na bado apple wanaongoza mauzo kote duniani??Mkuu tumekuwa indoctrinated sana na mabelief mpka tu nafanya criticism kwenye kazi zao.. Hii inahappen hata bila sisi kujua
Angekuwa Steve Jobs mwenyewe eti ndo shoga mbona wasinge Pata mauzo nchi za kwetu na warabu huko
Tukutane jioni🏃♀️🏃♀️Wenye silaha za kushusha ni wale silaha zao ziko juu sasa wewe bichwa silaha yako ishashushwa iko deep koma labda useme unashsusha komwe chini ndo ntaogopa.(Joking)
NB:Adui yetu ni huyu de Gunner . Katufanya clowns wake tunavyoparurana kwake ni show na yuko siti zq mbele na popcorn ooh no na kisungura mkononi anae enjoy the show.Imagine mm ww na yule tunapatana hlf tunamuweka de gunner kati then tunaanza kumchamba.😃😀😀
Mi nashauri tupatane tumchambe tukimaliza ndo tuendelee na ugomvi wetu😀😃
Wakatoliki hawakuachana na Ukatoliki Papa Francis aliposema mashoga wapewe huduma za kanisa.Nani leo hapa anajua Tim cooks, whom we know ni yule late founder Steve Jobs. Watangaze publicly kuwa Apple inamilikwa na shoga uone
Uliza facts sio kuongea nonsenseHapana nimekuuliza hivyo ujue hilo swala haihitaji dini, hata mtoto mdogo anajua
Papa Francis mpaka anaenda kaburini hajawahi kuomba msamaha kuwatetea mashoga na kutaka wapewe haki zao.Umesahau kilicho tokea, Papa hakuomba msamaha? Usijisahaulishe
Hiki ni kitu tofauti kabisa,View attachment 3616789
Nini hicho?
Papa Francis alikuwa mtetezi wa mashoga.Kwa hiyo unataka kuhalalisha Ufuska huo?
Ufuska ni tofauti na ushoga.Kwa hiyo unataka kuhalalisha Ufuska huo?
Mbona Wakatoliki hawakuachana na kanisa katoliki??Then *** him ndo maana alikua vibaya
Ushoga haujaleta mpasuko wowote katika jamii.Ila ******* hawakosekani hata huku. Ila mimi naonaga ni udwanzi tu hii Umeleta mpasuko mkubwa sana kwenye jamii na ndo lengo la kudivide ambayo wa natumia walio juu