Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Kuangalia season ni katika mambo ya upuuzi pata picha namna zinavyotengenezwa hizo muvi ni kichekesho πŸ˜„
 
de Gunner hv mm na wewe nani anafanana tabia na BICHWA KOMWE - ?

Wewe na bichwa wote mna ndimi chafu mkianza kutukana JF yote inanuka.

Wewe na bichwa mna profile picha zenye utata.
Bichwa ya mmama wewe ya Jaden shoga.

Tofauti yako na bichwa ni kuwa wewe ukiwahiwa unaweza kunusurika sijui kupona.

Hlf nahisi we ndo sekeli tikili.
Na kuna saa nahisi we ndo bichwa coz kila saa unamtag bichwa.

Come to Yeezus
 
Tunataka tupate ukweli sasa
 
Wototo wakiume walindwe kwa wivu mkubwa sana na wapewe malezi ya kiumeni.
Mtoto wa kiume kamili hakuna kinachoweza kumfanya shoga hata asipo lindwa. Mwanaume huzaliwa akiwa anajitambua mwenye kuonea ufahari uanaume wake . Shoga sio mwanaume na hajawahi kuwa mwanaume na hawezi kuja kuwa mwanaume. Hivyo hivyo mwanaume kamili hawezi kuwa shoga.
 
Unaogopa haryfy ya kinyesi ama maji ya rungu yasije yakakurukia kwenye tv πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒbora umeshituka
 
Katika mashoga kuna anayeoa na aliyeolewa Ila kwa Kiingereza wote ni mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…