Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Kumbe ni lijinga?
 
Dah, de Gunner umenigusa sana na point yako! Michael Scofield alikuwa genius kweli, na Wentworth Miller alifanya kazi nzuri mno kucheza uhusika ule. Planning yake, utulivu, charisma, na jinsi alivyokuwa tayari kujitolea kwa ajili ya kaka yake, yote yalikuwa on point na yalimfanya awe character usiyemsahau kirahisi.

Ni kweli kabisa inakuwa ngumu kidogo ukishajenga connection na character au actor, halafu ukasikia mambo binafsi yao ambayo labda hukuyategemea. Ni hisia za kawaida kabisa, na inaeleweka kwanini unaweza kupata stimu zikakata kidogo. Unaanza kujiuliza maswali mengi, na inakuwa kama inafifisha ile picha uliyoijenga akilini.

Lakini nadhani ni vizuri kukumbuka kwamba kazi ya sanaa na maisha binafsi ya msanii ni vitu viwili tofauti. Uwezo wa Wentworth Miller kuigiza na kutuletea character kama Michael Scofield haupungui kwa sababu ya maisha yake binafsi. Yeye kama msanii alifanya kazi yake kwa ufanisi mkubwa na kutupa burudani isiyosahaulika.

Pengine unaweza ukaipa nafasi Season 5, ukafocus zaidi kwenye stori na jinsi Michael alivyokuwa anatatua matatizo yake mapya. Nadhani bado utaenjoy jinsi akili yake ilivyokuwa inafanya kazi na mikakati yake! Ni sawa kuhisi hivyo, lakini tusisahau kuthamini kipaji na kazi nzuri iliyofanywa.
 
Huwa napotezea mambo yake ya nje ya box ili niweze kufatilia series, ni kali sana na namna alivyovaa uhusika huwezi kuamini ka jamaa ni zakwacha!
 
Hamna mkuu, movie ni tofauti kabisa ina themes nyingi kuanzia wizi, usaliti, mifumo mbaya ya nchi, brother hood na mengineyo ila kupakuliwa alitangaza jamaa huyo star
Bush Dokta yupo sahihi.
Ujumbe wao umefika
Walitaka kupeleka ujumbe huo uchoko jambo la kawaida, na mapunga(bwabwa) watu wa kawaida msiwanyanyapae,
Wanaweza kuwa majasiri na wakafanya kazi ngumu na za kishujaa au za hatari.
Everything was planned kuanzia hiyo kuigiza akili na uthubutu kisha kuja kujitangaza.
 
Hakika mkuu season 1 mpk 3 ziliku a za motoo kinoma... Japo hata season 4 kwenye kutafta scylla Kulikua na miakili mingi sana

Yeah I know, ni vile tu tunakuwa so connected to avatars sometimes that we loose touch with them wakifanya vitu vya ajabu in real life.
 

Yah, alipitia rough childhood, huenda ndo zilizo Fanya awe upinde. Imagine mda wote unakuwa depressed ss mashine itafanya kazi sawasawa Kweli? Hata Testosterone inashuka..

Jamaa angekuwa straight angepata more endorsement na angekuwa bonge moja la celebritiy kwa wakati wake. Kaniangusha sana
 
Ok
Nitaanza na Breaking bond.. Imenikosha

Money heist nitaangalia episode za kwanza kwa umakini tena nione beyond drama

Thanks for suggesting mkuu
 

View: https://youtu.be/0habxsuXW4g?si=8S7V9TpfGMNkXDHyMariah Carrey aliua sana, one of the song na jamaa alitendra haki u vixen
 
Kweli mkuu.
 
Mkuu nipe your favorites nianze kuzifanyia review reading and rating.. Unaonekana mzuri sana kwenye series.. Weka kipaumbele za kutumia akili, ziwe na kila kitu kuanzia mkono, drama mpaka romance..

So mpka now nina
Breaking bond
Heist
Lost

Na umesema LA Brea? Daah ikoje hio?
 
Oky hapo sawa ngoja nikupe list yangu
Sio mda takuandikis list nzima hapa
 
Lakini nimemsoma member mmoja huko juu amesema michael was misquoted.. is it?
Ni mtu moja tu. Katika maisha halisi ndo sio riziki ila kwenye movie ni rijali.

Ile movie nliangalia nkaifurahia nlivokuja kugundua mshkaji ndo vile tena ilinikata sana nkaanza kuwaza ndo maana hata scene za Sara Tancred kuwa mpenzi wake zilikua hazioneshi uhalisia wa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…