Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.

Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Waswahili tunasema FANYA YAKO..... Waingereza wanasema MIND YOUR BUSINESS..... na Wakongo kutoka Congo DR (akina Bandeko Nangai) wanasema KIPE YA YO......
 
Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.

Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Tunawanunulia.
Jiulize Ommy Dimpoz, gari ya 4 B, Afrika nzima iko moja tu, kaipataje?
Jiulize kwanini Dudubaya kaomba msamaha, nini kimemsibu? Mama yake amepigwa mkwala gani?
 
Back
Top Bottom