Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Hizi ndio stage za awali anazopitia mtu kabla ya kufirika.

Sasa wewe endelea kutamani maisha ya watu ambao kimsingi ulipaswa kuwaonea huruma.
Mkuu,hilo jamaa ni Papai maarufu sana humu JF,
Lina IDs 8 za kutafutia watu wakulifukua tope,naona limegundua kwamba pamoja na kua Chakula ila bado lina maisha ya Dhiki,ndio maana sasa limeanza kuwaonea wivu wanawake.
 
Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.

Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Aiseee ungejua hao MASELEBULITIES wanavyouza NYAMA kwa MADON ni hatari ,Muulize TIVU AKE yeye ndiyo MEDIATOR.

Huyo akiitwa na DON usiku mmoja hakosi MILIO hata mitano.

Uwoya naye yupo na Serengeti Boy Ze Bilionea Dominic Mmasi - Room of Jeanz - Napo anaokota za KUTOSHA.
 
Sasa hao si wana mbunye na wanauzia matajiri ? Unaweza kushindana na Wolper ama Gigi ? Usiku mmoja tu hela kichele .... sasa hii mizee mistaafu ikilambwa koni inachanganyikiwa, ni vitu hawakufanyiwa ujanani....anatoa hela tu kama chizi
 
Wazee waliofanikiwa Kwa pesa au vyeo, ujanani walikuwa bize kutfut hizo nafasi na hayo mafanikio, kwa sasa ndio wanakula sasa vizuri japo makombo lakini kwa Raha
 
Back
Top Bottom