Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Rasilimali gani, mwili?Mtu asitumie rasilimali zake vizuri😹😹😹😹jmni
Rasilimali gani, mwili?Mtu asitumie rasilimali zake vizuri😹😹😹😹jmni
Duh vijana wanaliwa makebo ili wakuze nyota zao za ustaaTunawanunulia.
Jiulize Ommy Dimpoz, gari ya 4 B, Afrika nzima iko moja tu, kaipataje?
Jiulize kwanini Dudubaya kaomba msamaha, nini kimemsibu? Mama yake amepigwa mkwala gani?
Bora ivyo kuliko kupeana bila FaidaRasilimali gani, mwili?
Mh.. hao wote ni age go mbonaKwanza hawa ni wanawake wazuri, ni pisi kali, kudeti nao ni ghali sana, uzuri wao unawapa hela
Mishe za kutoa mbwa 😃Wengine wanakodi hayo magari na kulipa kwa siku, wengine wananunua kupitia mishe zao halali na pamoja na posho za kutoa mbwa
Unfortunately magari sio yao, ni bragging tu. Ukitaka wakuroge waambie wakuoneshe kadi za magari hayo zikiwa na majina yao halisi. Kinacowaweka mjini ni uchumi wa PAKA.Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.
Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
😂😂😂Hizi ndio stage za awali anazopitia mtu kabla ya kufirika.
Sasa wewe endelea kutamani maisha ya watu ambao kimsingi ulipaswa kuwaonea huruma.
Halafu mbona nakupigia simu tuongee hupokei 😁Bora ivyo kuliko kupeana bila Faida
😁😁😁Mishe za kutoa mbwa 😃
Nina number nyingi balaaa sasa sijui unapiga ipiHalafu mbona nakupigia simu tuongee hupokei 😁
Hahaha,Nina number nyingi balaaa sasa sijui unapiga ipi
rudi nyuma enzi wakiwa wasichana walikimbiza sana kwa upisi wao, wanazeeka na uzuri wao ndio maana vijana wadogo wanatokwa udenda kuwatamani licha ya sasa kuwa ni mishangaziMh.. hao wote ni age go mbona
Mkuu hao ni maarufu tu, kuna watoto wa geti kali ni mayai mara 1000 ya haorudi nyuma enzi wakiwa wasichana walikimbiza sana kwa upisi wao, wanazeeka na uzuri wao ndio maana vijana wadogo wanatokwa udenda kuwatamani licha ya sasa kuwa ni mishangazi
wakuze nyota kwa kuvunjwa uanaume wao? Kisaikolojia ikoje hiyo?Duh vijana wanaliwa makebo ili wakuze nyota zao za ustaa
Daaah
Haijalishi..... sweetness ni constant ileileGigi money anaonekana ana k.. kubwa sana kwa muonekano wake
Umaarufu walio nao tu wala kuwa na hayo magari sio jambo la kushangaza, hapa tunaachana kabisa na mambo ya vipochi manyoya
Yeah kwa hao na brand zao ni kawaida kabisa kumiliki vitu vya gharama, hata account zao za social media zinaweza walipa tu nakufanya yote hayo kirahisi tuNakazia mkuu.
Wote hao hawana migongo....Huwezi kutofautisha mgongoni na mbeleni...kote shimoless.Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.
Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Pesa za Bure au sio mbona kuna raia wengine ni maarufu na hawana kitu?Ukishakuwa maarufu jiji hili, ni rahisi sana kupata pesa, endorsement na connection.