Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.

Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Unfortunately magari sio yao, ni bragging tu. Ukitaka wakuroge waambie wakuoneshe kadi za magari hayo zikiwa na majina yao halisi. Kinacowaweka mjini ni uchumi wa PAKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…