Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Kwanza hawa ni wanawake wazuri, ni pisi kali, kudeti nao ni ghali sana, uzuri wao unawapa hela
Kwanza umewahi kutembelea nchi gani na gani??? Hivi unawajua wanawake wazuri aka pisi kali?? Hayo mangurubange mileage zimesoma hadi zimefika mwisho ndio pisi kali?? wewe utakua msukuma au mnyakyusa maana ndio washamba wa wanawake,. Magari wanakodisha hayo wanalipia siku kwa siku, sishangaigi wakipatwa na matatizo wanapitisha vibakuli wachangiwe.
 
100% wanakodisha si umesikia kumbe hata Dimpoz ni Gari ya kukodi ndio mana hata usajiri wake hakukuwa umekamilika
Pia wafanyabiashara wanawatumia kutangaza hayo magari yao
 
Miaka ya 2008 hadi 2012 Wema Sepeti alikuwa akikoda range anajipa zawadi Birthday, anaendesh siku mbili tatu anarejesha😂😂
 
Msiamini sana maisha ya mtandaoni!
Ukija upande wa influencers
Especially wengi wa kutoka west Africa uienfluencer ni zuga tu watu wana shuguli zao pembeni,sasa we iga uone
Juzi kati kuna dada wa,kighana (jessica hartog)boss lady influencer alikuwa ana post kutwa anavyoishi expensive life alikuwa ana miliiki spaa ya maana
Kilichomkuta kumbe pembeni ana mitkasi zingine za htr
Ila kwa wabongo wengi wanaazimishwa tu magari basi

Ova
 
Miaka ya 2008 hadi 2012 Wema Sepeti alikuwa akikoda range anajipa zawadi Birthday, anaendesh siku mbili tatu anarejesha😂😂
Kwanza alihongwa ile audi q7 na yule boss wa bandari
Ambaye baadaye msala ukampata
Maisha ya mtandaoni yana fix nyingi sana

Ova
 
***** hilo punga lilikuja na ID zote kujitongozesha
 
Pesa za Bure au sio mbona kuna raia wengine ni maarufu na hawana kitu?
Au mbona wauza nyapu wapo kibao na wamechoka tu? Au hao mashoga mbona wapo mitaani huko choka mbaya tu? Yaani hizo njia za haja kubwa zina nini hadi mtu ampe gari ya $200,000?
 
Au mbona wauza nyapu wapo kibao na wamechoka tu? Au hao mashoga mbona wapo mitaani huko choka mbaya tu? Yaani hizo njia za haja kubwa zina nini hadi mtu ampe gari ya $200,000?
Maswali magumu sana
 
Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua.

Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
Ukiona unaanza kuwaza hivyo ujue una mawazo na akili ya kimasikini.

Tuko mwaka 2026 ambapo kuna njia zaidi ya billion 1 za kupata hela. Fanya kazi
 
Auntie Ezekiel tangu tukiwa naye form one A pale Kawawa JkT Mafinga alikuwa tayari anauza
 
Mjini hata wewe ukitaka ndinga unapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…