Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

Nina ndugu, alikua anafanya kazi kitengo kizuri cha mamalaka flani hivi. Yeye kumiliki milion 300+ kwenye akaunti zake za benki sio kitu cha kushangaza.
Utawala ulipo badirika, akapigwa chini.
Kawa mlevi mbwa, kwani hakujua namna ya kutafuta fedha kwa jasho.
Hivi nina vyo andika hata uwezo wa kusomesha watoto wake hana.Na mke kakimbia
NB: Njia yako ya kutafuta, isikufanye uone unachelewa maisha, na kwamba unasindikiza wenzio. Ni suala la muda, weka mipango na juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…