Huwa nakula vitumbua hadi 18 na supu ama chai ajabu baada ya masaa2 napata Njaa Kali mno hadi kutetemeka je ni ugonjwa?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.

Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.

Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.

Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.

Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
 
Jambo dogo sana kwangu.Kama una milioni mbili ujieleze nikupe tiba komesha.
NB:Sijatapeli mtu siku nyingi sana.Karibu mteja.
 
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.

Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.

Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.

Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.

Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Ni vitumbua gani hasa una maanisha ?.😂
 
Back
Top Bottom