Huwa nakula vitumbua hadi 18 na supu ama chai ajabu baada ya masaa2 napata Njaa Kali mno hadi kutetemeka je ni ugonjwa?

Huwa nakula vitumbua hadi 18 na supu ama chai ajabu baada ya masaa2 napata Njaa Kali mno hadi kutetemeka je ni ugonjwa?

Lkn Mimi ni vitumbua pekee ndo nakula hivi. Chapati ni Moja mwisho2 maandashi sikumbuki mara ya mwisho kula ni lini
Acha kuzungukazunguka.Ninyi wasukuma huwa mnaamini vichwani mwenu kwamba mkila wali au chochote kilichopikwa kwa mchele huwa hamshibi.Imani yenu tu.Mnaamini mpaka mle ugali mgumu,viazi vitamu,michembe au matobholwa ndiyo mnashiba.
 
Hapana wali huwa nashiba. Ila kwa sababu umekuwa msemaji wangu ni sawa pia
 
Mkuu wasukuma ndivyo tulivyo!
Vitumbua vinatokana na unga wa mchele. Na sisi kwetu wasukuma haijawahi kutokea eti mama apike wali tupu ndo chakula cha kulalia bila kuanza na ugali!

Utumbo wako umezoea kuchakata vyakula vigumu kitu kama nguna hivi bila shaka...
 
Back
Top Bottom